Wabunge waomba msamaha Hong Kong
Kundi la Wabunge wa Hong Kong wamenunua nafasi katika magazeti ya eneo hilo na kuwaomba wapiga kura msamaha kwa kukosa kuwepo wakati kura muhimu ya kuamua hatma ya kidemokrasia ya eneo hilo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Hong Kong na utata wa uchaguzi
11 years ago
BBCSwahili15 Oct
Hong Kong si shwari tena
11 years ago
BBCSwahili29 Sep
Wandamanaji wakesha Hong Kong
11 years ago
BBCSwahili30 Sep
Hong Kong bado hali tete
11 years ago
BBCSwahili28 Oct
Maelfu wakumbuka maandamano Hong Kong
11 years ago
StarTV03 Oct
Wanafunzi Hong Kong kukutana na serikali
Viongozi wa wanafunzi huko Hong Kong wamekubali kukutana na upande wa serikali kujadili malalamiko yao siku tano baada ya maandamano makubwa ya kupigania demokrasia.
Hiyo inafuatia mwaliko kutoka kwa mkuu wa utawala wa Hong Kong CY Leung. Alitoa taarifa hiyo muda mfupi kabla ya kumalizika kwa muda wa mwisho uliowekwa na wanafunzi hao waliotishia kuvamia majengo ya serikali iwapo mkuu huyo hatajiuzulu.
Muda wa mwisho uliowekwa na wanafunzi hao umemalizika salama.
Bwana Leung amesema...
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Watanzania wengi wafungwa Hong Kong
11 years ago
StarTV02 Oct
China yaonya mgogoro wa Hong Kong.
Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi ametoa onyo kali dhidi ya maandamano “yasiyo halali” Hong Kong.
Akiwa katika ziara nchini Marekani, Bwana Wang pia alionya kuwa suala la Hong Kong linahusu “mambo ya ndani” ya China.
Waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Marekani, John Kerry, ameitaka Hong Kong kujizuia na matumizi ya nguvu wakati wa kushughulikia maandamano hayo.
Mapema, waandamanaji wanafunzi waliokasirishwa na China kuwateua wagombea wa uchaguzi wa mwaka 2017 waliapa kuendelea na...
11 years ago
BBCSwahili28 Sep
Hong Kong:Waandamana kuipinga Uchina