Dk. Kikwete atoa msamaha kwa wafungwa 4,160
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyemaliza muda wake Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa msamaha kwa wafungwa 4,160, ambapo kati yao wafungwa 867 wataachiliwa huru na wengine 3,293 watapunguziwa vifungo vyao na kubaki gerezani wakitumikia sehemu ya kifugo kilichobaki.
Rais huyo wa serikali ya awamu ya nne, ametoa msamaha huo katika kuaga na kukabidhi madaraka ya serikali yake kwa serikali ya awamu ya tano, inayoongozwa na Rais Dr. John Pombe Magufuli.
Kabla ya kukabidhi madaraka, Rais...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo21 Dec
Wafungwa wanawake Kingulwira waomba msamaha kwa Kikwete
WAFUNGWA katika Gereza Kuu la Wanawake la Kingulwira, Morogoro wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuwapa msamaha katika gereza hilo kwa sababu wamejirekebisha.
9 years ago
Habarileo06 Nov
Kikwete asamehe wafungwa 4,160
RAIS mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4,160 katika kuaga na kukabidhi madaraka ya Serikali kwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli.
5 years ago
Michuzi
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Msamaha kwa wafungwa uwekewe mfumo mpya
5 years ago
Michuzi
THBUB: Msamaha kwa Wafungwa ni hatua muhimu kuzuia maambukizi ya Korona Magerezani

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) amesema uamuzi wa Mheshimiwa Rais, Dkt. John Pombe Magufuli wa kuwasamehe wafungwa 3973 ni hatua muhimu katika kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya maradhi yanayosababishwa na Virusi vya Korona.
Jaji Mwaimu aliyasema hayo leo Mei 7, 2020 Ofisini kwake jijini Dodoma alipokuwa akitoa mtazamo wake juu ya jitihada za Serikali za kudhibiti kuenea kwa maradhi hatari ya Korona.
Alieleza kuwa msamaha huo ni muhimu...
5 years ago
CCM Blog
RAIS DK. MAGUFULI APONGEZWA KUTOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA, INASAIDIA KUZUIA MAAMBUKIZI YA CORONA

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) amesema uamuzi wa kuwasamehe wafungwa 3973 uliofanywa na Rais Dk. John Magufuli (pichani) ni hatua muhimu katika kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona.
Jaji Mwaimu aliyasema hayo leo Mei 7, 2020 Ofisini kwake jijini Dodoma alipokuwa akitoa mtazamo wake juu ya jitihada za Serikali za kudhibiti kuenea kwa maradhi hatari ya Korona.
Alieleza kuwa msamaha huo ni...
11 years ago
Mwananchi28 Apr
JK awanyima msamaha wafungwa wa ujangili
5 years ago
CCM Blog23 Apr
RAIS WA NIGERIA ATOA AGIZO LA KUACHILIWA HURU WAFUNGWA KWA SABABU YA CORONA

10 years ago
StarTV10 Jan
Rais Kikwete atoa vitabu 201 kwa JWTZ.
Na Mwandishi Maalum
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Jakaya Kikwete amekabidhi vitabu 201 kwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania JWTZ Jenerali Devis Mwamunyange ili vitumike katika mafunzo kwenye vyuo na shule za Jeshi.
Rais Kikwete alikabidhi vitabu hivyo Ikulu jijini Dar es Salaam
bad credit installment loans in missouri
Vitabu hivyo vinafanya jumla ya vitabu vilivyotolewa na Rais Kikwete kwa JWTZ kufikia 2752
Pamoja na kukabidhi vitabu hivyo Rais Kikwete, amesema...