RAIS WA NIGERIA ATOA AGIZO LA KUACHILIWA HURU WAFUNGWA KWA SABABU YA CORONA
Rais Muhamadu Buhari wa Nigeria amemtaka Jaji Mkuu wa nchi hiyo awaachilie huru wafungwa ambao wamekuwa wakisubiri kusikilizwa kesi zao kwa kwa muda wa miezi sita sasa au zaidi, kama moja ya njia ya kukabiliana na ueneaji wa virusi vya Corona katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.Rais wa Nigeria amenukuliwa akisema kuwa, asilimia 42 ya wafungwa 74,000 wamekuwa wakisubiri kusikilizwa kesi zao, hivyo amemtaka Ibrahim Tanko Muhammad Jaji Mkuu wa nchi hiyo awaachilie huru wafungwa hao na...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili04 Mar
Coronavirus: Wafungwa zaidi ya 54,000 waachiwa huru Iran kuzuia maambukizi ya virusi vya corona
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-NbLymFUR7n8/Xn2QiXohnxI/AAAAAAAAxMc/Jk6PqqUNdmUNiIy5Haq08qSnrPSoDlbFwCLcBGAsYHQ/s72-c/_111413817_e439e230-6626-498e-a4b8-7f11be2a6a97.jpg)
MJI MKUU WA KINSHASA WAFUNGWA WIKI TATU DRC SABABU YA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-NbLymFUR7n8/Xn2QiXohnxI/AAAAAAAAxMc/Jk6PqqUNdmUNiIy5Haq08qSnrPSoDlbFwCLcBGAsYHQ/s640/_111413817_e439e230-6626-498e-a4b8-7f11be2a6a97.jpg)
DRC imethibitisha kuwa na wagonjwa 54 mjini Kinshasa na kuwaweka watu 2,000 karantini ambao wamehusiana na wagonjwa hao wa covid-19.
Mji huo wa Kinshasa utafungwa rasmi siku ya Jumamosi ambapo hakutakuwa na mtu atakayeruhusiwa kutoka nje siku zaidi ya siku mbili kwa wiki kwa ajili ya kununua mahitaji muhimu ya chakula.
Wakati ambao mji huo...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-cxEkbzwy32Q/XrPIDCLKNJI/AAAAAAACKMA/Zjfj3ori--I5MWF74eINExbTy8SB_oFpQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200507_113251.jpg)
RAIS DK. MAGUFULI APONGEZWA KUTOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA, INASAIDIA KUZUIA MAAMBUKIZI YA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-cxEkbzwy32Q/XrPIDCLKNJI/AAAAAAACKMA/Zjfj3ori--I5MWF74eINExbTy8SB_oFpQCLcBGAsYHQ/s320/IMG_20200507_113251.jpg)
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) amesema uamuzi wa kuwasamehe wafungwa 3973 uliofanywa na Rais Dk. John Magufuli (pichani) ni hatua muhimu katika kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona.
Jaji Mwaimu aliyasema hayo leo Mei 7, 2020 Ofisini kwake jijini Dodoma alipokuwa akitoa mtazamo wake juu ya jitihada za Serikali za kudhibiti kuenea kwa maradhi hatari ya Korona.
Alieleza kuwa msamaha huo ni...
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
US yapinga kuachiliwa wafungwa Afghanistan
10 years ago
BBCSwahili03 May
Ravalomanana kuachiliwa huru Madagascar
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Pistorius 'kuachiliwa huru mwezi Agosti'
9 years ago
StarTV30 Nov
Taarifa za Shekh Ponda kuachiliwa huru.
Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa morogoro imemwachia huru katibu wa jumuiya na taasisi za kiislamu tanzania sheikh ponda issa ponda baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha makosa yake
Akitoa hukumu hiyo hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo mary moyo amesema mahakama haikumkuta na makosa baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha pasipo kuacha shaka
Amesema mahakama imemwachia huru sheikh ponda baada ya kuroridhishwa na ushahidi kulingana na sheria ya mwenendo wa mashauri ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-MRBtiNDAO7o/XnMCy5jeYmI/AAAAAAALkYk/8l89aFFCN8gcz0BURGVmy3RSFgV8g9R9gCLcBGAsYHQ/s72-c/1938f9fe-b097-4db5-80f5-8cf5943b1e36.jpg)
WAZIRI KAMWELWE AITAKA LATRA KUCHUKUA HATUA KUKABILIANA NA CORONA KWENYE VITUO VYA MABASI,ATOA SIKU TATU KUHAKIKISHA ZINARATIBU AGIZO HILO
SERIKALI imeziagiza Halmashauri za Majiji na Miji kukaa na Mamlaka za Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA) ili kuweka utaratibu maalum ambao utadhibiti mrundikano na wingi wa watu kwenye vituo vikuu vya mabasi.
LATRA na Halmashauri hizo zimepewa siku tatu kuhakikisha zinaratibu agizo hilo ikiwa ni hatua za serikali katika kujikinga na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo, Waziri wa Ujenzi,...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-LpsMwifnsfo/XmteqLzQIDI/AAAAAAAC01Y/B50qXbd1T5YjzfIE5213JbAB5qnPhyXXQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
RAIS MAGUFULI ATOA UJUMBE MZITO KWA WATANZANIA KUHUSU VIRUSI VYA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-LpsMwifnsfo/XmteqLzQIDI/AAAAAAAC01Y/B50qXbd1T5YjzfIE5213JbAB5qnPhyXXQCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Ametoa tahadhari hiyo leo Ijumaa Machi 13,2020 wakati akizindua karakana ya kisasa ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) iliyojengwa kwa Sh8.5 bilioni kwa ufadhili wa Serikali ya Ujerumani.
Rais Magufuli amesema ingawa ugonjwa huo umesambaa katika maeneo mbalimbali dunia bado Tanzania...