Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taarifa za Shekh Ponda kuachiliwa huru.

Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa morogoro imemwachia huru katibu wa jumuiya na taasisi za kiislamu tanzania sheikh ponda issa ponda baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha makosa yake

Akitoa hukumu hiyo hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo mary moyo amesema mahakama haikumkuta na makosa baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha pasipo kuacha shaka

Amesema mahakama imemwachia huru sheikh ponda baada ya kuroridhishwa na ushahidi kulingana na sheria ya mwenendo wa mashauri ya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BREAKING NEWWWWWWS!!!!! SHEKH ISSA PONDA AACHIWA HURU


MAHAKAMA ya hakimu mkazi Morogoro imemuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda aliyekuwa akituhumiwa kwa makosa ya uchochezi baada ya mahakama kutoridhishwa na ushahidi wa upande wa mashtaka na hivyo kuonekana hana hatia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ravalomanana kuachiliwa huru Madagascar

Rais wa Madagascar Hery Rajaonarimampianina, anasema kuwa anaondoa kifungo cha nyumbani dhidi ya Ravalomanana

 

10 years ago

BBCSwahili

Pistorius 'kuachiliwa huru mwezi Agosti'

Mwanariadha mlemavu kutoka Afrika Kusini Oscar Pistorius huenda akaachiliwa huru Agosti tarehe 21

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA NIGERIA ATOA AGIZO LA KUACHILIWA HURU WAFUNGWA KWA SABABU YA CORONA

Rais wa Nigeria atoa agizo la kuachiliwa huru wafungwa kwa sababu ya virusi vya Corona Rais Muhamadu Buhari wa Nigeria amemtaka Jaji Mkuu wa nchi hiyo awaachilie huru wafungwa ambao wamekuwa wakisubiri kusikilizwa kesi zao kwa kwa muda wa miezi sita sasa au zaidi, kama moja ya njia ya kukabiliana na ueneaji wa virusi vya Corona katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.Rais wa Nigeria amenukuliwa akisema kuwa, asilimia 42 ya wafungwa 74,000 wamekuwa wakisubiri kusikilizwa kesi zao, hivyo amemtaka Ibrahim Tanko Muhammad Jaji Mkuu wa nchi hiyo awaachilie huru wafungwa hao na...

 

10 years ago

Habarileo

Shekhe Ponda aachiwa huru

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda (mwenye kanzu) akiingia Mahakama Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam jana kusikiliza kesi inayomkabili. (Picha na Yusuf Badi).MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemwachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kutokana na upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha makosa dhidi yake.

 

9 years ago

Habarileo

Shehe Ponda aachiwa huru

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwona hana hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili. Shehe Ponda alifunguliwa kesi namba 128, Agosti 19, 2013 katika mahakama hiyo baada ya kudaiwa kutenda kosa la kuvunja sheria ya nchi Kifungu Namba 24 cha Kanuni ya Adhabu.

 

9 years ago

Mwananchi

Mahakama yamuachia huru Sheikh Ponda

Mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa Morogoro imemwachia huru kiongozi wa Taasisi na Jumuiya za Kiislam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka yaliyofunguliwa mahakamani hapo dhidi yake.

 

10 years ago

GPL

MAHAKAMA KUU YAMUACHIA HURU SHEIKH PONDA LEO

Sheikh Ponda akiwa ndani ya Mahakama Kuu akisubiri hukumu. Wakili wa Sheikh Ponda, Bw Juma Nassoro akizungumza jambo na mteja wake mahakamani hapo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani