MAHAKAMA MOROGORO YAMWACHIA HURU SHEIK PONDA MCHANA HUU
![](http://1.bp.blogspot.com/-vuWvRF7EB9I/VlwNvjRZ2wI/AAAAAAAA1VE/UoCiSIA4-1c/s72-c/IMG_20151130_114441.jpg)
CCM Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania22 Sep
Mahakama yamwachia huru Mbasha
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemwachia huru mfanyabiashara na mwimbaji wa muziki wa injili, Emmanuel Mbasha aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya ubakaji.
Baada ya Hakimu Flora Mjaya kumaliza kusoma hukumu jana, Mbasha alitoka nje ya mahakama hiyo na kupiga magoti na kunyanyua mikono juu akimshukuru Mungu huku akibubujikwa na machozi.
“Namshukuru Mungu ni mwema amenitetea maisha yangu,” alisema Mbasha huku akirudia maneno hayo mara kwa mara.
Hakimu Mjaya alisema...
11 years ago
Habarileo26 Dec
Mahakama ya Rufaa yamwachia huru mfanyabiashara
MAHAKAMA ya Rufani Kanda ya Dar es Salaam imeamuru mfanyabiashara Amnus Athanus aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha, atolewe gerezani.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7VwSlJttUKM/VgAnKbXXfxI/AAAAAAAH6jE/DAvc0bd89YA/s72-c/mbasha%252Bpic.jpg)
MAHAKAMA YAMWACHIA HURU EMMANUEL MBASHA KESI YA UBAKAJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-7VwSlJttUKM/VgAnKbXXfxI/AAAAAAAH6jE/DAvc0bd89YA/s640/mbasha%252Bpic.jpg)
Kulia ni msanii wa Nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha (32) aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya ubakaji leo aliachiwa huru na Mahakama ya Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, baada ya ushahidi uliotolewa na upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma hizo. Mbasha ambaye pia ni mume wa msanii wa nyimbo za injili nchini, Flora Mbasha, alipiga magoti na kuangua kilio nje ya mahakama baada ya kusomwa hukumu hiyo iliyomwachia huru dhidi ya tuhuma za...
5 years ago
MichuziMAHAKAMA AUSTRALIA YAMWACHIA HURU KARDINALI GEORGE PELL
MAHAKAMA kuu nchini Australia imeondoa hatia dhidi ya Kardinali mkongwe wa kanisa katoliki nchini humo George Pell (78) aliyewahi kupatikana na hatia ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto na Machi 2019, alihukumiwa kifungo cha miaka sita gerezani lakini uamuzi wa mahakama umemwachilia huru siku ya Jumatatu, Shirika la utangazaji la NBC News patner 7 News la nchini humo limeripoti.
Mahakama kuu ya Australia iligundua kuwa majaji wasiokubaliana walitoa hukumu hiyo...
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Exclusive: Mahakama ya Kisutu yamwachia huru Askofu Gwajima na wachungaji wake watatu leo
Taarifa zilizotufikia chumba cha habari cha modewjiblog zimeeleza kuwa Askofu Josephat Gwajima aliyejisalimisha Polisi Central na hatimaye kupelekwa Mahakama ya Kisutu wameachiwa huru kwa dhamana yeye pamoja na wachungaji wake watatu, jijini Dar es Salaam jioni ya leo.
Askofu Gwajima aliwataja Maaskofu hao kuwa ni Askofu Geofrey Andrew, Mchungaji George Mzava na Askofu Yeconia Bihagaze.
Hiyo ni kufuatia kushitakiwa kwa mashitaka mawili yanayowakabili likiwemo kumkashifu Askofu Pengo...
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Mahakama yamuachia huru Sheikh Ponda
10 years ago
GPLMAHAKAMA KUU YAMUACHIA HURU SHEIKH PONDA LEO
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-HkSDUgrMq4o/Uw4OLTH4xfI/AAAAAAAFP1c/UunTmJEISNI/s72-c/TZ_-Cleric.jpg)
KESI YA SHEIK PONDA KUSIKILIZWA TENA MACHI 3,2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-HkSDUgrMq4o/Uw4OLTH4xfI/AAAAAAAFP1c/UunTmJEISNI/s1600/TZ_-Cleric.jpg)
Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Augustino Mwarija baada ya...
10 years ago
Habarileo28 Nov
Shekhe Ponda aachiwa huru
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemwachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kutokana na upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha makosa dhidi yake.