Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHAKAMA AUSTRALIA YAMWACHIA HURU KARDINALI GEORGE PELL

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MAHAKAMA kuu nchini Australia imeondoa hatia dhidi ya Kardinali  mkongwe wa kanisa katoliki nchini humo George Pell (78) aliyewahi kupatikana na hatia ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto na Machi 2019, alihukumiwa kifungo cha miaka sita gerezani lakini uamuzi wa mahakama umemwachilia huru siku ya Jumatatu, Shirika la utangazaji la NBC News patner 7 News la nchini humo limeripoti.
Mahakama kuu ya Australia iligundua kuwa majaji wasiokubaliana walitoa hukumu hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Mahakama yamwachia huru Mbasha

Pg 3 sept 22Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemwachia huru mfanyabiashara na mwimbaji wa muziki wa injili, Emmanuel Mbasha aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya ubakaji.

Baada ya Hakimu Flora Mjaya kumaliza kusoma hukumu jana, Mbasha alitoka nje ya mahakama hiyo na kupiga magoti na kunyanyua mikono juu akimshukuru Mungu huku akibubujikwa na machozi.

“Namshukuru Mungu ni mwema amenitetea maisha yangu,” alisema Mbasha huku akirudia maneno hayo mara kwa mara.

Hakimu Mjaya alisema...

 

11 years ago

Habarileo

Mahakama ya Rufaa yamwachia huru mfanyabiashara

MAHAKAMA ya Rufani Kanda ya Dar es Salaam imeamuru mfanyabiashara Amnus Athanus aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha, atolewe gerezani.

 

9 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMWACHIA HURU EMMANUEL MBASHA KESI YA UBAKAJI

Na Mwene Said waBlogu ya Jamii
Kulia ni msanii wa Nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha (32) aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya ubakaji leo  aliachiwa huru na Mahakama ya Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, baada ya ushahidi uliotolewa na upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma hizo.  Mbasha ambaye pia ni mume wa msanii wa nyimbo za injili nchini, Flora Mbasha, alipiga magoti na kuangua kilio nje ya mahakama baada ya kusomwa hukumu hiyo iliyomwachia huru dhidi ya tuhuma za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive: Mahakama ya Kisutu yamwachia huru Askofu Gwajima na wachungaji wake watatu leo

GWAJIMA2 (1)

Taarifa zilizotufikia chumba cha habari cha modewjiblog zimeeleza kuwa Askofu Josephat Gwajima aliyejisalimisha Polisi Central na hatimaye kupelekwa Mahakama ya Kisutu wameachiwa huru kwa dhamana yeye pamoja na wachungaji wake watatu, jijini Dar es Salaam jioni ya leo.

Askofu Gwajima aliwataja Maaskofu hao kuwa ni Askofu Geofrey Andrew, Mchungaji George Mzava na Askofu Yeconia Bihagaze.

Hiyo ni kufuatia kushitakiwa kwa mashitaka mawili yanayowakabili likiwemo kumkashifu Askofu Pengo...

 

11 years ago

Habarileo

Mahakama yaaachia huru vigogo wa MUWSA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Moshi imewaachia huru washtakiwa wawili waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya ufisadi, akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Moshi (MUWSA), Anthony Kasonta. Mwingine aliyeachiliwa ni aliyekuwa Kaimu Meneja wa Fedha na Utawala wa mamlaka hiyo, John Ndetiko.

 

9 years ago

Mwananchi

Mahakama yamuachia huru Sheikh Ponda

Mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa Morogoro imemwachia huru kiongozi wa Taasisi na Jumuiya za Kiislam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka yaliyofunguliwa mahakamani hapo dhidi yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Mshtakiwa wa EPA, aachiwa huru na Mahakama

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesigwa Lukaza baada ya kuwaona hawana hatia katika kesi ya wizi wa  wa Sh 6.3 bilioni za akaunti ya madeni ya Nje (EPA) iliyopo Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

10 years ago

GPL

MAHAKAMA KUU YAMUACHIA HURU SHEIKH PONDA LEO

Sheikh Ponda akiwa ndani ya Mahakama Kuu akisubiri hukumu. Wakili wa Sheikh Ponda, Bw Juma Nassoro akizungumza jambo na mteja wake mahakamani hapo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani