BREAKING NEWWWWWWS!!!!! SHEKH ISSA PONDA AACHIWA HURU
![](http://4.bp.blogspot.com/-cFMYuxli1wY/VlwE_uQUQlI/AAAAAAAIJHY/hwqVLyQnVtc/s72-c/ponda_clip.jpg)
MAHAKAMA ya hakimu mkazi Morogoro imemuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda aliyekuwa akituhumiwa kwa makosa ya uchochezi baada ya mahakama kutoridhishwa na ushahidi wa upande wa mashtaka na hivyo kuonekana hana hatia.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV30 Nov
Taarifa za Shekh Ponda kuachiliwa huru.
Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa morogoro imemwachia huru katibu wa jumuiya na taasisi za kiislamu tanzania sheikh ponda issa ponda baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha makosa yake
Akitoa hukumu hiyo hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo mary moyo amesema mahakama haikumkuta na makosa baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha pasipo kuacha shaka
Amesema mahakama imemwachia huru sheikh ponda baada ya kuroridhishwa na ushahidi kulingana na sheria ya mwenendo wa mashauri ya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Iebe9m5XXaM/VX6Bt5wJjMI/AAAAAAAHfek/JJqax9PgWR0/s72-c/ShekheMkuu.jpg)
BREAKING NEWZ: MUFTI SHEKH MKUU WA TANZANIA, ISSA BIN SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-Iebe9m5XXaM/VX6Bt5wJjMI/AAAAAAAHfek/JJqax9PgWR0/s640/ShekheMkuu.jpg)
MUFTI Shekh Mkuu wa Tanzania, Issa Bin Shaaban Simba amefariki dunia leo katika hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam.
MUNGU ILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAEREHEMU.
Endelea kufuatilia taarifa zaidi.
10 years ago
Habarileo28 Nov
Shekhe Ponda aachiwa huru
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemwachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kutokana na upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha makosa dhidi yake.
9 years ago
Habarileo01 Dec
Shehe Ponda aachiwa huru
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa Ponda ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwona hana hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili. Shehe Ponda alifunguliwa kesi namba 128, Agosti 19, 2013 katika mahakama hiyo baada ya kudaiwa kutenda kosa la kuvunja sheria ya nchi Kifungu Namba 24 cha Kanuni ya Adhabu.
11 years ago
Mwananchi15 May
Sheikh Issa Ponda arudishwa rumande
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Mahakama yamtakasa Sheikh Issa Ponda
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Mtuhumiwa aachiwa huru
11 years ago
Habarileo06 Jun
Mbunge aachiwa huru
MBUNGE wa Ukerewe, mkoani Mwanza, Salvatory Machemli ameachiwa huru na Mahakama baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha mashitaka ya uchochezi yaliyokuwa yakimkabili.
11 years ago
Habarileo30 Jan
Kibanda aachiwa huru
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salam imemwachia huru aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima, Absalom Kibanda na wenzake baada ya kuwaona hawana hatia katika mashitaka ya uchochezi yaliyokuwa yanawakabili.