Mbunge aachiwa huru
MBUNGE wa Ukerewe, mkoani Mwanza, Salvatory Machemli ameachiwa huru na Mahakama baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha mashitaka ya uchochezi yaliyokuwa yakimkabili.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo30 Jan
Kibanda aachiwa huru
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salam imemwachia huru aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima, Absalom Kibanda na wenzake baada ya kuwaona hawana hatia katika mashitaka ya uchochezi yaliyokuwa yanawakabili.
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Mtuhumiwa aachiwa huru
10 years ago
BBCSwahili12 Jul
Mwanaharakati Mpalestina aachiwa huru
9 years ago
Mtanzania15 Aug
Kigogo BoT aachiwa huru
NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Mifumo na Huduma wa
Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Simon Jengo, aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la matumizi mabaya ya ofisi kwa kununua mashine 26 za kuharibu noti.
Kesi hiyo ilianza kusikilizwa mahakamani hapo Januari 30, 2012, chini ya Hakimu Ritha Tarimo, Wakili wa Serikali Fredrick Manyanda, aliyekuwa akisaidiwa na Ben Lincoln pamoja na Shadrack Kimaro.
Katika shtaka hilo, Jengo...
11 years ago
Habarileo01 Jul
Mkurugenzi Ilala aachiwa huru
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, John Lubuva na wenzake wameachiwa huru baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha kesi iliyokuwa ikiwakabili ya kutumia vibaya madaraka, kula njama na kuitia serikali hasara ya Sh bilioni 1.7.
10 years ago
Habarileo18 Jul
Aachiwa huru, akamatwa tena
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemuachia huru, Samwel Meshack baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuleta mashahidi kuthibitisha tuhuma za wizi zilizokuwa zikimkabili.
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Mkurugenzi wa Muwsa aachiwa huru
10 years ago
Habarileo28 Nov
Shekhe Ponda aachiwa huru
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemwachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda kutokana na upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha makosa dhidi yake.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6MgXzqQGy3nsIwTv3mgaEwitcZKQMNT*YcTXp7n2rA2Er*TErvyJwNvhaj8NePiBLgoNk88E3EfZClW75*qWfm82xwTE5-fP/13.gif)
EMMANUEL MBASHA AACHIWA HURU