EMMANUEL MBASHA AACHIWA HURU
![](http://api.ning.com:80/files/6MgXzqQGy3nsIwTv3mgaEwitcZKQMNT*YcTXp7n2rA2Er*TErvyJwNvhaj8NePiBLgoNk88E3EfZClW75*qWfm82xwTE5-fP/13.gif)
Mume wa mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akitoka nje ya Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo. MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo imemuachia huru mume wa mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha katika kesi iliyokuwa inamkabili ya kosa la ubakaji baada ya kuona hana hatia juu ya madai hayo. Mbasha alikuwa anakabiliwa na mashitaka ya kumbaka shemeji yake mwenye umri...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7VwSlJttUKM/VgAnKbXXfxI/AAAAAAAH6jE/DAvc0bd89YA/s72-c/mbasha%252Bpic.jpg)
MAHAKAMA YAMWACHIA HURU EMMANUEL MBASHA KESI YA UBAKAJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-7VwSlJttUKM/VgAnKbXXfxI/AAAAAAAH6jE/DAvc0bd89YA/s640/mbasha%252Bpic.jpg)
Kulia ni msanii wa Nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha (32) aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya ubakaji leo aliachiwa huru na Mahakama ya Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, baada ya ushahidi uliotolewa na upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma hizo. Mbasha ambaye pia ni mume wa msanii wa nyimbo za injili nchini, Flora Mbasha, alipiga magoti na kuangua kilio nje ya mahakama baada ya kusomwa hukumu hiyo iliyomwachia huru dhidi ya tuhuma za...
9 years ago
VijimamboEMMANUEL MBASHA NI NANI ALIKUROGA???
Ndoa na mapenzi ni mambo ambayo mara nyingi huwa hayaingiliwi,yametawaliwa na msemo kuwa'mapenzi ni wawili tu akiongezeka wa tatu ni mchawi',lakini pia huwa inapobidi watu wanaingilia hasa pale wahusika au mhusika mmoja anapovuka mstari mwekundu,Hakuna asiyejua sakata la mbasha na mkewe flora,huyu jamaa alituhumiwa kumbaka shemeji yake,mmoja wa shahidi muhimu upande wa mashtaka alikuwa mkewe flora,ina maana flora alitaka mumewe aozee jela,na kweli wakati kesi ikiendelea flora alienda...
11 years ago
IPPmedia18 Jun
Gospel singer, Emmanuel Mbasha
IPPmedia
IPPmedia
Businessman cum gospel singer Emmanuel Mbasha, a husband of Flora yesterday appeared at the Ilala District Court in Dar es Salaam charged with two alleged offences of rape. The prosecution led by Senior State attorney Nasoro Katuga claimed before ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx92AZdy-v67KjCiTuvfRiNCLBPYbfvXKC-zs5zgX3QXjq8gTCCw5o3brPE1h00KTvWeyUKKXjwuxmwrvr2pga5c/MBASHA.jpg)
EMMANUEL MBASHA ALIZWA HATI ZA NYUMBA, VIWANJA
10 years ago
GPL08 Sep
11 years ago
Habarileo30 Jan
Kibanda aachiwa huru
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salam imemwachia huru aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima, Absalom Kibanda na wenzake baada ya kuwaona hawana hatia katika mashitaka ya uchochezi yaliyokuwa yanawakabili.
11 years ago
Habarileo06 Jun
Mbunge aachiwa huru
MBUNGE wa Ukerewe, mkoani Mwanza, Salvatory Machemli ameachiwa huru na Mahakama baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha mashitaka ya uchochezi yaliyokuwa yakimkabili.
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Mtuhumiwa aachiwa huru
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w9JIhnUgjg8RrkpbND0Fiisf-x0Kvr6oJr*BvjJRZkfhwh3FOqWcEBClPgBQyWDlscFZFCuCDjFWrAC5Ws3mYuTknAixB6lX/BARUANZITO.jpg)
EMMANUEL, FLORA MBASHA NINI KIPO NYUMA YENU?