Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EMMANUEL MBASHA - HARIBU KAZI ZA SHETANI (NEW AUDIO)

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

EMMANUEL MBASHA AACHIWA HURU

Mume wa mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akitoka nje ya Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo. MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo imemuachia huru mume wa mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha katika kesi iliyokuwa inamkabili ya kosa la ubakaji baada ya kuona hana hatia juu ya madai hayo.
Mbasha alikuwa anakabiliwa na mashitaka ya kumbaka shemeji yake mwenye umri...

 

11 years ago

IPPmedia

Gospel singer, Emmanuel Mbasha


IPPmedia
Gospel singer, Emmanuel Mbasha
IPPmedia
Businessman cum gospel singer Emmanuel Mbasha, a husband of Flora yesterday appeared at the Ilala District Court in Dar es Salaam charged with two alleged offences of rape. The prosecution led by Senior State attorney Nasoro Katuga claimed before ...

 

9 years ago

Vijimambo

EMMANUEL MBASHA NI NANI ALIKUROGA???


Ndoa na mapenzi ni mambo ambayo mara nyingi huwa hayaingiliwi,yametawaliwa na msemo kuwa'mapenzi ni wawili tu akiongezeka wa tatu ni mchawi',lakini pia huwa inapobidi watu wanaingilia hasa pale wahusika au mhusika mmoja anapovuka mstari mwekundu,Hakuna asiyejua sakata la mbasha na mkewe flora,huyu jamaa alituhumiwa kumbaka shemeji yake,mmoja wa shahidi muhimu upande wa mashtaka alikuwa mkewe flora,ina maana flora alitaka mumewe aozee jela,na kweli wakati kesi ikiendelea flora alienda...

 

11 years ago

GPL

EMMANUEL MBASHA ALIZWA HATI ZA NYUMBA, VIWANJA

Stori:   ShAkoor Jongo MAJANGA! Siku chache baada ya kuachiwa kwa dhamana katika kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, mwimbaji wa Injili na mfanyabiashara Bongo, Emmanuel Mbasha amedaiwa kuibiwa hati za nyumba na viwanja. Mfanyabiashara Bongo, Emmanuel Mbasha mume wa Flora Mbasha. Chanzo makini kilichomo ndani ya familia, kimedai kuwa mara baada ya Mbasha kujitokeza na kuwekwa mahabusu Juni 17, mwaka huu, mtu asiyejulikana...

 

11 years ago

GPL

EMMANUEL, FLORA MBASHA NINI KIPO NYUMA YENU?

KWENU,
Emmanuel na Flora Mbasha. Naamini afya zenu zipo sawa na mnaendelea kuhangaika na maisha ingawa kuna changamoto zimeingia kati yenu. Napenda kuwahakikishia kuwa, hayo ni mapito tu. Yataisha. Naandika barua hii hasa kwa msukumo wa imani yangu ambayo nanyi mnaiamini. Kwangu mimi kama Mkristo, ninyi ni viongozi wangu wa kiroho. Sina shaka na hilo hata kidogo. Ni viongozi wa Wakristo wengi ndani na nje ya nchi. Nasema hivyo...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMWACHIA HURU EMMANUEL MBASHA KESI YA UBAKAJI

Na Mwene Said waBlogu ya Jamii
Kulia ni msanii wa Nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha (32) aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya ubakaji leo  aliachiwa huru na Mahakama ya Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, baada ya ushahidi uliotolewa na upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma hizo.  Mbasha ambaye pia ni mume wa msanii wa nyimbo za injili nchini, Flora Mbasha, alipiga magoti na kuangua kilio nje ya mahakama baada ya kusomwa hukumu hiyo iliyomwachia huru dhidi ya tuhuma za...

 

10 years ago

Vijimambo

Emmanuel Mbasha Amwaga Machozi Mahakani..Sakata la Kumbaka Shemeji Yake

Mwimbaji wa muziki wa injili, Emmanuel Mbasha, anayekabiliwa na kesi ya kumbaka mtoto wa miaka 17, juzi alitoka kwenye chumba cha Mahakama ya Wilaya ya Ilala akibubujikwa machozi.Hali hiyo ilimtokea mara baada ya shahidi wa pili wa kesi hiyo, aliyejulikana kwa jina la Suzan, kutoa ushahidi wake.Kwa kuwa kesi hiyo inasikilizwa kwenye chemba (chumba maalumu ambacho waandishi na watu wasiohusika hawaruhusiwi kuingia) haikuweza kujulikana mara moja ni kitu gani kilichofanya mwimbaji huyo ambaye...

 

9 years ago

Vijimambo

Picha nje ya Mahakama baada ya Mwimbaji wa Gospel Emmanuel Mbasha kushinda kesi ya kubaka



Emmanuel Mbasha akiwa amepiga magoti huku akitokwa machozi nje ya Mahakama ya Ilala, Dar es Salaam baada ya Hukumu kutolewa. Hizi hapa Picha nje ya Mahakama ya Ilala baada ya Hukumu kutolewa Mahakamani na Emmanuel Mbasha kutoka nje ya Mahakama.






millardayo.com

 

10 years ago

Vijimambo

SAKATA LA EMMANUEL MBASHA KUBAKA: Daktari Atoa Ushahidi Mahakamani, Asema Vipimo Havikuonyesha Dalili yoyote ya Msichana Huyo Kubakwa


Shahidi wa nne katika kesi ya tuhuma za ubakaji inayomkabili Emmanuel Mbasha, mume wa mwanamuziki wa nyimbo za injili, Flora Mbasha, jana alidai mahakamani kuwa hakuona dalili zozote za kuingiliwa kimwili mlalamikaji.
Hayo yalidaiwa na daktari wa Hospitali ya Amana, Migole Mtuka, ambaye alimfanyia vipimo msichana huyo.Daktari huyo alidai katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwamba vipimo alivyomfanyia msichana huyo anayedaiwa kubakwa na Mbasha, havikuonyesha kitu chochote.
Dk. Migole alidai kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani