Gospel singer, Emmanuel Mbasha
IPPmedia
Gospel singer, Emmanuel Mbasha
IPPmedia
Businessman cum gospel singer Emmanuel Mbasha, a husband of Flora yesterday appeared at the Ilala District Court in Dar es Salaam charged with two alleged offences of rape. The prosecution led by Senior State attorney Nasoro Katuga claimed before ...
IPPmedia
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo21 Sep
Picha nje ya Mahakama baada ya Mwimbaji wa Gospel Emmanuel Mbasha kushinda kesi ya kubaka


Emmanuel Mbasha akiwa amepiga magoti huku akitokwa machozi nje ya Mahakama ya Ilala, Dar es Salaam baada ya Hukumu kutolewa. Hizi hapa Picha nje ya Mahakama ya Ilala baada ya Hukumu kutolewa Mahakamani na Emmanuel Mbasha kutoka nje ya Mahakama.









millardayo.com
11 years ago
BBC
Nigerian gospel singer Kefee dies
Popular Nigerian gospel singer Kefee Obareki Don-Momoh reportedly dies in a hospital in the United States after falling into a coma.
10 years ago
TheCitizen21 Sep
Gospel singer acquitted after rape charges
Ilala District Court yesterday acquitted well-known gospel singer and businessman, Emmanuel Mbasha who was charged with two counts of rape.
5 years ago
BBC29 Feb
Kizito Mihigo: The Rwandan gospel singer who died in a police cell
Rwandan genocide survivor Kizito Mihigo, hailed as a national talent, was later accused of treason.
5 years ago
BBC10 Apr
Coronavirus over Easter: Gospel singer Evelyn Wanjiru leads worship online
Evelyn Wanjiru has found a way to mark the Christian festival without setting foot in a church.
10 years ago
VijimamboEMMANUEL MBASHA NI NANI ALIKUROGA???
Ndoa na mapenzi ni mambo ambayo mara nyingi huwa hayaingiliwi,yametawaliwa na msemo kuwa'mapenzi ni wawili tu akiongezeka wa tatu ni mchawi',lakini pia huwa inapobidi watu wanaingilia hasa pale wahusika au mhusika mmoja anapovuka mstari mwekundu,Hakuna asiyejua sakata la mbasha na mkewe flora,huyu jamaa alituhumiwa kumbaka shemeji yake,mmoja wa shahidi muhimu upande wa mashtaka alikuwa mkewe flora,ina maana flora alitaka mumewe aozee jela,na kweli wakati kesi ikiendelea flora alienda...
10 years ago
GPL
EMMANUEL MBASHA AACHIWA HURU
Mume wa mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akitoka nje ya Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo. MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo imemuachia huru mume wa mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha katika kesi iliyokuwa inamkabili ya kosa la ubakaji baada ya kuona hana hatia juu ya madai hayo.
Mbasha alikuwa anakabiliwa na mashitaka ya kumbaka shemeji yake mwenye umri...
11 years ago
GPL
EMMANUEL MBASHA ALIZWA HATI ZA NYUMBA, VIWANJA
Stori:Â Â ShAkoor Jongo MAJANGA! Siku chache baada ya kuachiwa kwa dhamana katika kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, mwimbaji wa Injili na mfanyabiashara Bongo, Emmanuel Mbasha amedaiwa kuibiwa hati za nyumba na viwanja. Mfanyabiashara Bongo, Emmanuel Mbasha mume wa Flora Mbasha. Chanzo makini kilichomo ndani ya familia, kimedai kuwa mara baada ya Mbasha kujitokeza na kuwekwa mahabusu Juni 17, mwaka huu, mtu asiyejulikana...
11 years ago
GPL08 Sep
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania