RAIS MAGUFULI ATOA UJUMBE MZITO KWA WATANZANIA KUHUSU VIRUSI VYA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-LpsMwifnsfo/XmteqLzQIDI/AAAAAAAC01Y/B50qXbd1T5YjzfIE5213JbAB5qnPhyXXQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Rais Magufuli amewataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya virusi vya corona akisema ni hatari zaidi kwa maelezo kuwa ni ugonjwa hatari na Shirika la Afya Duniani (WHO) limeshatoa tahadhari.
Ametoa tahadhari hiyo leo Ijumaa Machi 13,2020 wakati akizindua karakana ya kisasa ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) iliyojengwa kwa Sh8.5 bilioni kwa ufadhili wa Serikali ya Ujerumani.
Rais Magufuli amesema ingawa ugonjwa huo umesambaa katika maeneo mbalimbali dunia bado Tanzania...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili17 May
Virusi vya corona:Rais Magufuli atoa maagizo ndege za kubeba watalii kuingia
5 years ago
BBCSwahili07 Jun
Virusi vya corona: Rais Magufuli asema ana imani ugonjwa wa corona umeondolewa kwa nguvu za Mwenyezi Mungu
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-VbvHliDwf9Y/XvCLcoqzc7I/AAAAAAALu6c/lldVMfArMtQUMaBhkjrr1kLtpuN8B0ZtACLcBGAsYHQ/s72-c/18.jpg)
RAIS MAGUFULI ATUMA UJUMBE MZITO KWA VIONGOZI WA SERIKALI WANAOTAKA KUGOMBEA UBUNGE WAKIDHANI WATAKUWA MAWAZIRI
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
RAIS Dk.John Magufuli amepeleka salamu kwa baadhi ya viongozi wa kada mbalimbali wanaodhani wakiachana nafasi zao na kwenda kugombea ubunge wakishinda atawateuwa katika Baraza la Mawaziri wajue wanajidanganya.
Ameyasema hayo leo Juni 22,2020 Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kumuapisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Kimanta , Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan Kihongosi, Mkuu wa Wilaya ya Monduli Edward Balele ,Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bakari Msulwa,Mkurugenzi wa Jiji...
5 years ago
BBCSwahili26 Apr
Virusi vya corona: Nadharia za uongo kuhusu virusi vya corona kati ya Marekani na China
5 years ago
Michuzi5 years ago
BBCSwahili03 May
Virusi vya Corona: Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli atuma ndege Madagascar kuchukua 'dawa ya corona'
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya corona: WHO ilijua kuhusu virusi vya corona miaka miwili iliopita
5 years ago
BBCSwahili08 Apr
Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jRy8XwWsMMQ/Xq6IKbfL10I/AAAAAAALo4g/INcd4xtG2YAzmX5k7HaxbXiNp9zy5BYsgCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault.jpg)
RAIS MAGUFULI:WATANZANIA OONDOENI HOFU KUHUSU CORONA, ENDELEENI KUCHAPA KAZI
![](https://1.bp.blogspot.com/-jRy8XwWsMMQ/Xq6IKbfL10I/AAAAAAALo4g/INcd4xtG2YAzmX5k7HaxbXiNp9zy5BYsgCLcBGAsYHQ/s640/maxresdefault.jpg)
*Awahakikishia watumishi wote wa umma kuendelea kulipwa mishahara yao
RAIS Dk.John Magufuli tangu tanga la Coroa limeibuka kila nchi inao utaratibu wake wa kushughulika na tatizo hilo na kwa Watanzania hakuna sababu ya kuwa na hofu yoyote na waendelee kuchapa kazi.
Ametumia nafasi hiyo kuwahakikisha watumishi wote wa umma wakiwemo walimu ambao ndio wengi zaidi kuwa Serikali itaendelea kuwalipa mshahara hadi shule zitakapofunguliwa ingawa kuna nchi nyingine zimeshindwa kulipa mishahara...