Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MJI MKUU WA KINSHASA WAFUNGWA WIKI TATU DRC SABABU YA CORONA

   Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kufungwa kabisa kwa mji mkuu wa Kinshasa kwa muda wa wiki tatu ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona.
DRC imethibitisha kuwa na wagonjwa 54 mjini Kinshasa na kuwaweka watu 2,000 karantini ambao wamehusiana na wagonjwa hao wa covid-19.

Mji huo wa Kinshasa utafungwa rasmi siku ya Jumamosi ambapo hakutakuwa na mtu atakayeruhusiwa kutoka nje siku zaidi ya siku mbili kwa wiki kwa ajili ya kununua mahitaji muhimu ya chakula.

Wakati ambao mji huo...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: DRC imeuweka 'isolation' mji wake mkuu Kinshasa

Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza hali ya dharula na kuufunga mji wake mkuu wa Kinshasa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: DRC kufunga mji wa Kinshasa kuzuia maambukizi wakati

Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kufunga mji wa Kinshasa kuzuia maambukizi ya coronavirus yaliyofikia 55 sasa.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA NIGERIA ATOA AGIZO LA KUACHILIWA HURU WAFUNGWA KWA SABABU YA CORONA

Rais wa Nigeria atoa agizo la kuachiliwa huru wafungwa kwa sababu ya virusi vya Corona Rais Muhamadu Buhari wa Nigeria amemtaka Jaji Mkuu wa nchi hiyo awaachilie huru wafungwa ambao wamekuwa wakisubiri kusikilizwa kesi zao kwa kwa muda wa miezi sita sasa au zaidi, kama moja ya njia ya kukabiliana na ueneaji wa virusi vya Corona katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.Rais wa Nigeria amenukuliwa akisema kuwa, asilimia 42 ya wafungwa 74,000 wamekuwa wakisubiri kusikilizwa kesi zao, hivyo amemtaka Ibrahim Tanko Muhammad Jaji Mkuu wa nchi hiyo awaachilie huru wafungwa hao na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kambi ya jeshi yavamiwa Kinshasa DRC

Ufyatulianaji wa risasi umetokea katika kambi ya kijeshi mjini Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

 

10 years ago

GPL

KABURI MOJA WALIMOZIKWA WATU 425 LAGUNDULIKA KINSHASA-DRC

Mji wa Kinshasa-DRC. Vyombo vya habari nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, vimeripoti kuwa, kaburi kaburi la umati ambamo kulizikwa mamia ya watu limegundulika karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Kinshasa. Waziri wa Mambo ya Ndani wa DRC, Evariste Boshab Mabudj Kanali wa RTBFTV wa Kongo ametangaza kuwa, zaidi ya watu 425 walizikwa pamoja ndani ya kaburi hilo. Hata hivyo vyombo vya habari vina shaka juu ya namna ambavyo mauaji...

 

11 years ago

Michuzi

JK AWASILI KINSHASA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI DRC

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ndjili jijini Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)  usiku wa kuamkia leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) Augustin Matata Ponyo Mapon akimkaribisha na kuzungumza na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika mji mkuu wan chi hiyo Kinshasa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.Rais...

 

11 years ago

GPL

JK AWASILI KINSHASA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI DRC

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ndjili jijini Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)  usiku wa kuamkia leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) Augustin Matata Ponyo Mapon akimkaribisha na kuzungumza na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika mji mkuu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marufuku ya kutotembelea mji mkuu wa Kenya yaongezwa

Marufuku ya kutotembelea mji mkuu wa Kenya Nairobi pamoja na miji mingine minne yaendelea

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU MAJALIWA: WANAFUNZI WOTE WALIOZUIWA SABABU YA CORONA WASOME ONLINE

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema wanafunzi wanaosoma katika Vyuo Vikuu mbalimbali nchini China waliozuiwa kutokana na mlipuko wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona wote wanaendelea na masomo yao kwa njia ya mtandao.

Waziri Mkuu ameyasema hayo katika mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi ambapo amesema baada ya virusi vya corona kuikumba China vyuo vilifungwa na sasa vimefunguliwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani