Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KABURI MOJA WALIMOZIKWA WATU 425 LAGUNDULIKA KINSHASA-DRC

Mji wa Kinshasa-DRC. Vyombo vya habari nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, vimeripoti kuwa, kaburi kaburi la umati ambamo kulizikwa mamia ya watu limegundulika karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Kinshasa. Waziri wa Mambo ya Ndani wa DRC, Evariste Boshab Mabudj Kanali wa RTBFTV wa Kongo ametangaza kuwa, zaidi ya watu 425 walizikwa pamoja ndani ya kaburi hilo. Hata hivyo vyombo vya habari vina shaka juu ya namna ambavyo mauaji...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Maiti 421 zagunduliwa ndani ya kaburi moja huko DRC

Mfano wa moja ya kaburi lililozikwa watu wengi kwa pamojaMfano wa moja ya kaburi lililozikwa watu wengi kwa pamoja
Mjadala mkali umezuka huko Kinshasa kufuatia kuzinduliwa kwa kaburi la pamoja ambalo lilizika watu 421 nje ya mji wa Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC.

Serikali ilielezea kwamba maiti zilizozikwa humo nyingi ni za watoto wachanga waliofariki wakati wa kuzaliwa kwenye mahospitali kadhaa pamoja na watu wazima ambao familia zao kwa kipindi kirefu walishindwa kugharamia mazishi. Lakini mashirika ya kutetea haki za...

 

10 years ago

Vijimambo

MAZISHI YA WATU 15 KABURI MOJA HUKO KIGOMA! NI WALE WALIOPATA AJALI YA MELI!

Miili 15 ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambao walifariki katika ajali ya meli kwenye Mkoa wa Kalemie nchini humo ilipatikana Kigoma na mazishi yamefanyika ambapo kwa upande wa Serikali Congo kulikuwa na muwakilishi ambaye ni Balozi mdogo Congo, Riki Molema. Hizi ni baadhi ya picha wakati wa mazishi ya watu hao. Naibu Balozi Mdogo wa ubalozi wa DRC mkoani Kigoma Riki Molema akizungumza na wananchi wa kijiji cha kalilani wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wakati wa mazishi ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kambi ya jeshi yavamiwa Kinshasa DRC

Ufyatulianaji wa risasi umetokea katika kambi ya kijeshi mjini Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

 

11 years ago

GPL

JK AWASILI KINSHASA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI DRC

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ndjili jijini Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)  usiku wa kuamkia leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) Augustin Matata Ponyo Mapon akimkaribisha na kuzungumza na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika mji mkuu...

 

11 years ago

Michuzi

JK AWASILI KINSHASA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI DRC

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ndjili jijini Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)  usiku wa kuamkia leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) Augustin Matata Ponyo Mapon akimkaribisha na kuzungumza na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika mji mkuu wan chi hiyo Kinshasa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.Rais...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: DRC kufunga mji wa Kinshasa kuzuia maambukizi wakati

Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kufunga mji wa Kinshasa kuzuia maambukizi ya coronavirus yaliyofikia 55 sasa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: DRC imeuweka 'isolation' mji wake mkuu Kinshasa

Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza hali ya dharula na kuufunga mji wake mkuu wa Kinshasa.

 

5 years ago

CCM Blog

MJI MKUU WA KINSHASA WAFUNGWA WIKI TATU DRC SABABU YA CORONA

   Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kufungwa kabisa kwa mji mkuu wa Kinshasa kwa muda wa wiki tatu ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona.
DRC imethibitisha kuwa na wagonjwa 54 mjini Kinshasa na kuwaweka watu 2,000 karantini ambao wamehusiana na wagonjwa hao wa covid-19.

Mji huo wa Kinshasa utafungwa rasmi siku ya Jumamosi ambapo hakutakuwa na mtu atakayeruhusiwa kutoka nje siku zaidi ya siku mbili kwa wiki kwa ajili ya kununua mahitaji muhimu ya chakula.

Wakati ambao mji huo...

 

10 years ago

Mtanzania

Maiti ajali ya basi wazikwa kaburi moja

NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO

MIILI ya abiria 15 walioteketea kwa moto katika ajali ya basi iliyotokea juzi katika eneo la Ruaha, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, imezikwa katika kaburi moja.
Ilizikwa jana asubuhi katika makaburi ya Msavu Ruaha wilayani humo.
Abiria hao walifariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Nganga walilokuwa wakisafiria lenye namba za usajili T 373 DAH kugongana na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 164 BKG.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, John Henjewele, alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani