MAZISHI YA WATU 15 KABURI MOJA HUKO KIGOMA! NI WALE WALIOPATA AJALI YA MELI!
![](http://2.bp.blogspot.com/-3fDd94n8Myk/VJu6qyYytiI/AAAAAAAA0QI/xm9xQVxp6C8/s72-c/TATSSSS.jpg)
Miili 15 ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambao walifariki katika ajali ya meli kwenye Mkoa wa Kalemie nchini humo ilipatikana Kigoma na mazishi yamefanyika ambapo kwa upande wa Serikali Congo kulikuwa na muwakilishi ambaye ni Balozi mdogo Congo, Riki Molema. Hizi ni baadhi ya picha wakati wa mazishi ya watu hao.
Naibu Balozi Mdogo wa ubalozi wa DRC mkoani Kigoma Riki Molema akizungumza na wananchi wa kijiji cha kalilani wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wakati wa mazishi ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-XIbwni2OPnA/VJiURzEbUXI/AAAAAAAG5IY/XlIu69ch3kA/s72-c/unnamed%2B(17)%2Bcopy.jpg)
NEWS ALERT: MIILI YA WATU 14 WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MELI YA CONGO YAIBUKA KIGOMA, ZAZIKWA NA SREKALI YA TANZANIA
JUMLA ya maiti 14 zimezikwa baada ya makubaliano baina ya serekali ya Tanzania na serekali ya Demokrasia ya Congo(DRC)ambapo katika mazishi hayo serekali ya Congo iliwakilishwa na Balozi wa Congo kutoka ubalozi mdogo wa DRC Mkoani Kigoma.
Akizungumza muda mfupi baada ya mazishi ya raia hao Balozi mdogo wa DRC nchini kutoka Ubaozi mdogo Mkoani hapa,Mh. Riki Moleme alisema.
Mh. Maleme alisema kuwa amefarijika sana kwa namna serekali ya Tanzania...
10 years ago
Vijimambo09 Apr
Maiti 421 zagunduliwa ndani ya kaburi moja huko DRC
![Mfano wa moja ya kaburi lililozikwa watu wengi kwa pamoja](http://gdb.voanews.com/D73F8023-E3B5-41AC-B2B2-3A0C6F9EA87A_w640_r1_s.jpg)
Mjadala mkali umezuka huko Kinshasa kufuatia kuzinduliwa kwa kaburi la pamoja ambalo lilizika watu 421 nje ya mji wa Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC.
Serikali ilielezea kwamba maiti zilizozikwa humo nyingi ni za watoto wachanga waliofariki wakati wa kuzaliwa kwenye mahospitali kadhaa pamoja na watu wazima ambao familia zao kwa kipindi kirefu walishindwa kugharamia mazishi. Lakini mashirika ya kutetea haki za...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO
Baba wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline.
10 years ago
Mtanzania14 Apr
Maiti ajali ya basi wazikwa kaburi moja
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
MIILI ya abiria 15 walioteketea kwa moto katika ajali ya basi iliyotokea juzi katika eneo la Ruaha, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, imezikwa katika kaburi moja.
Ilizikwa jana asubuhi katika makaburi ya Msavu Ruaha wilayani humo.
Abiria hao walifariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Nganga walilokuwa wakisafiria lenye namba za usajili T 373 DAH kugongana na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 164 BKG.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, John Henjewele, alisema...
10 years ago
Habarileo14 Apr
Abiria ajali ya moto wazikwa kaburi moja
MAELFU ya wakazi wa Tarafa ya Kidatu wilaya ya Kilombero na Mikumi, wilayani Kilosa mkoani Morogoro, walijawa na simanzi kubwa zilizotawaliwa na vilio wakati wa maziko ya miili ya watu 15 waliozikwa jana kwenye kaburi moja, ikiwa ni siku moja baada ya kufa kwa kuteketea kwa moto baada ya basi walilokuwa wakisafiria la Kampuni ya Nganga Express kulipuka lililopogongana na lori aina ya Mitsubishi Fuso.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JeioNtmyO2biPeroMiKav2aIDpxUCae0wowE6xzg8D1Kapl67tgyxg4YqM1*wVSXOsEzICLeFpMWOWaqqj9asaG6rNCc54aC/africabusinesskinshasa.jpg?width=650)
KABURI MOJA WALIMOZIKWA WATU 425 LAGUNDULIKA KINSHASA-DRC
10 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS, DK. BILAL AONGOZA MAMIA KWENYE MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA DAR
9 years ago
Dewji Blog23 Dec
Watu 7 wafariki na wengine 10 kujeruhiwa katika ajali ya gari mkoani Kigoma
Majeruhi wa ajari ya gari kuwaka moto Mkoani Kigoma akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mkoa ya Maweni (Picha na Emmanuel Senny).
Majeruhi wa ajari ya gari kuwaka moto Mkoani Kigoma akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mkoa ya Maweni (Picha na Emmanuel Senny).
Majeruhi wa ajari ya gari kuwaka moto Mkoani Kigoma, wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mkoa ya Maweni (Picha na Emmanuel Senny).
Majeruhi wa ajali ya gari kuwaka moto Mkoani Kigoma akipatiwa matibabu katika Hospitali ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-KSo0_PiaVoM/VREwm99uVhI/AAAAAAAADB0/QklnVjd0yMc/s72-c/1.jpg)
PICHA ZINATISHA,AJALI ILIYOTOKEA USIKU WAKUAMKIA LEO HUKO NZEGA WATU 6 WAPOTEZA MAISHA
![](http://2.bp.blogspot.com/-KSo0_PiaVoM/VREwm99uVhI/AAAAAAAADB0/QklnVjd0yMc/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Z4XIevg0DAQ/VREwqWn0PZI/AAAAAAAADCU/vHgdGOF6Lms/s640/8.jpg)