Maiti ajali ya basi wazikwa kaburi moja
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
MIILI ya abiria 15 walioteketea kwa moto katika ajali ya basi iliyotokea juzi katika eneo la Ruaha, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, imezikwa katika kaburi moja.
Ilizikwa jana asubuhi katika makaburi ya Msavu Ruaha wilayani humo.
Abiria hao walifariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Nganga walilokuwa wakisafiria lenye namba za usajili T 373 DAH kugongana na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 164 BKG.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, John Henjewele, alisema...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo14 Apr
Abiria ajali ya moto wazikwa kaburi moja
MAELFU ya wakazi wa Tarafa ya Kidatu wilaya ya Kilombero na Mikumi, wilayani Kilosa mkoani Morogoro, walijawa na simanzi kubwa zilizotawaliwa na vilio wakati wa maziko ya miili ya watu 15 waliozikwa jana kwenye kaburi moja, ikiwa ni siku moja baada ya kufa kwa kuteketea kwa moto baada ya basi walilokuwa wakisafiria la Kampuni ya Nganga Express kulipuka lililopogongana na lori aina ya Mitsubishi Fuso.
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Maiti 13 wazikwa kaburi la pamoja
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1baqUgSz7xPeoiqwwQMFPxOZI-Dx8XNf-ryvRHsvvM7kBKN0zgT1OaoWA-PQ5MHAK7f8UxjxAaIx9oasW-R8Zem/12_0.png?width=650)
JIJI LA NAIROBI LAKANUSHA KUZIKA MAITI ZA GARISSA KABURI MOJA
10 years ago
Vijimambo09 Apr
Maiti 421 zagunduliwa ndani ya kaburi moja huko DRC
![Mfano wa moja ya kaburi lililozikwa watu wengi kwa pamoja](http://gdb.voanews.com/D73F8023-E3B5-41AC-B2B2-3A0C6F9EA87A_w640_r1_s.jpg)
Mjadala mkali umezuka huko Kinshasa kufuatia kuzinduliwa kwa kaburi la pamoja ambalo lilizika watu 421 nje ya mji wa Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC.
Serikali ilielezea kwamba maiti zilizozikwa humo nyingi ni za watoto wachanga waliofariki wakati wa kuzaliwa kwenye mahospitali kadhaa pamoja na watu wazima ambao familia zao kwa kipindi kirefu walishindwa kugharamia mazishi. Lakini mashirika ya kutetea haki za...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-3fDd94n8Myk/VJu6qyYytiI/AAAAAAAA0QI/xm9xQVxp6C8/s72-c/TATSSSS.jpg)
MAZISHI YA WATU 15 KABURI MOJA HUKO KIGOMA! NI WALE WALIOPATA AJALI YA MELI!
![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/12/E80A1091.jpg?zoom=1.5&resize=435%2C300)
![](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/12/E80A1169.jpg?zoom=1.5&resize=428%2C285)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XkRrFz4ymKllH-rrmy149rcTTu*QhqfL2OjnXhFZhgsGUGU4wZuq5upE82VfZ4MCBjIh0JB0-fWtT7mLMYz80n9k0AtV*QPj/Kaburi.jpg)
WAFUKUA KABURI, WAMVUA MAITI SUTI
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Kaburi lafukuliwa, maiti aachwa mtupu
10 years ago
VijimamboWALIOFARIKI KATIKA AJALI WAZIKWA PAMOJA MKOANI MOROGORO
11 years ago
CloudsFM12 Jun
HILI NDILO KABURI LILILOVUNJA REKODI,MAITI YAWEKEWA KITANDA,TV,VINYWAJI N.K.
Sasa uachane na stori zote za watu maarufu na wasio maarufu, matajiri na masikini waliokufa na kuzikwa ndani ya majeneza mazuri na yaliyo na thamani kubwa, hayo tulikwisha yazoea kitambo sana.
Kiboko cha yaote mtu aliyezikwa katika kaburi lililotengenezwa kama chumba cha kulala kilicho na samani tofauti za thamani kubwa sana kama vile flat screen, dreassing table, kitanda na vitu vingine vingi mpaka mvinyo, perfumes na vingine vingi, hii ndio top katika dunia hii, angalia picha zaidi za tukio...