WAFUKUA KABURI, WAMVUA MAITI SUTI

Stori: Gabriel Ng’osha Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawasaka watu wanaosadikiwa kuwa ni wezi ambao wamebomoa kaburi la marehemu Napegwa Kishaluli (75), mkazi wa Mailimoja Kibaha na kuutoa mwili wake kisha kuiba suti, viatu na soksi alizokuwa amevalishwa. Kaburi likiwa wazi baada ya kufukuliwa. Habari za kipolisi kutoka mkoani Pwani zinasema kuwa, marehemu alizikwa Aprili 20, mwaka huu lakini siku saba baadaye...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Wafukua kaburi kusaka dhahabu, simu, fedha
NA GUSTAPHU HAULE, KIBAHA
WATU wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamebomoa kaburi la Napegwa Kishaluli (75) mkazi wa Mailimoja Kibaha mkoani Pwani aliyezikwa Aprili 20 mwaka huu na kumvua nguo zote pamoja na kuchukua mikoba aliyokuwa amezikwa nayo.
Tukio hilo lilitokea Aprili 24 mwaka huu katika Kata ya Tangini jirani na soko la Loliondo ambako baada ya mazishi kaburi hilo liliwekewa mlinzi kwa muda wa wiki moja.
Mkataba wa mlinzi huyo ulipomalizika aliondoka na siku iliyofuata kaburi hilo...
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Maiti 13 wazikwa kaburi la pamoja
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Kaburi lafukuliwa, maiti aachwa mtupu
10 years ago
Mtanzania14 Apr
Maiti ajali ya basi wazikwa kaburi moja
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
MIILI ya abiria 15 walioteketea kwa moto katika ajali ya basi iliyotokea juzi katika eneo la Ruaha, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, imezikwa katika kaburi moja.
Ilizikwa jana asubuhi katika makaburi ya Msavu Ruaha wilayani humo.
Abiria hao walifariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Nganga walilokuwa wakisafiria lenye namba za usajili T 373 DAH kugongana na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 164 BKG.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, John Henjewele, alisema...
10 years ago
Vijimambo09 Apr
Maiti 421 zagunduliwa ndani ya kaburi moja huko DRC

Mjadala mkali umezuka huko Kinshasa kufuatia kuzinduliwa kwa kaburi la pamoja ambalo lilizika watu 421 nje ya mji wa Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC.
Serikali ilielezea kwamba maiti zilizozikwa humo nyingi ni za watoto wachanga waliofariki wakati wa kuzaliwa kwenye mahospitali kadhaa pamoja na watu wazima ambao familia zao kwa kipindi kirefu walishindwa kugharamia mazishi. Lakini mashirika ya kutetea haki za...
10 years ago
GPL
JIJI LA NAIROBI LAKANUSHA KUZIKA MAITI ZA GARISSA KABURI MOJA
11 years ago
CloudsFM12 Jun
HILI NDILO KABURI LILILOVUNJA REKODI,MAITI YAWEKEWA KITANDA,TV,VINYWAJI N.K.
Sasa uachane na stori zote za watu maarufu na wasio maarufu, matajiri na masikini waliokufa na kuzikwa ndani ya majeneza mazuri na yaliyo na thamani kubwa, hayo tulikwisha yazoea kitambo sana.
Kiboko cha yaote mtu aliyezikwa katika kaburi lililotengenezwa kama chumba cha kulala kilicho na samani tofauti za thamani kubwa sana kama vile flat screen, dreassing table, kitanda na vitu vingine vingi mpaka mvinyo, perfumes na vingine vingi, hii ndio top katika dunia hii, angalia picha zaidi za tukio...
10 years ago
BBCSwahili08 Nov
Umri wamvua Miss Tanzania taji
10 years ago
Mtanzania03 Jun
Urais CCM wafukua mazito
Na Waandishi wetu
IDADI ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotangaza nia ya kuwania urais imezidi kuongezeka, huku kila mmoja akifukua mambo mazito.
Hatua hiyo, imekuja baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani jana kutangaza rasmi kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho.
Makada hao, wanaungana na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Waziri wa Kilimo, Chakula...