Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK awanyima msamaha wafungwa wa ujangili

>Rais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 3,967 katika magereza mbalimbali nchini lakini msahama huo unawaweka kando waliofungwa kwa makosa ya ujangili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Dk. Kikwete atoa msamaha kwa wafungwa 4,160

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyemaliza muda wake Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa msamaha kwa wafungwa 4,160, ambapo kati yao wafungwa 867 wataachiliwa huru na wengine 3,293 watapunguziwa vifungo vyao na kubaki gerezani wakitumikia sehemu ya kifugo kilichobaki.

Rais huyo wa serikali ya awamu ya nne, ametoa msamaha huo katika kuaga na kukabidhi madaraka ya serikali yake kwa serikali ya awamu ya tano, inayoongozwa na Rais Dr. John Pombe Magufuli.

Kabla ya kukabidhi madaraka, Rais...

 

11 years ago

Mwananchi

Msamaha kwa wafungwa uwekewe mfumo mpya

Katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwishoni mwa wiki, Rais Jakaya Kikwete alitoa msamaha kwa wafungwa 3,967 katika magereza mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Wafungwa wanawake Kingulwira waomba msamaha kwa Kikwete

PinguWAFUNGWA katika Gereza Kuu la Wanawake la Kingulwira, Morogoro wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuwapa msamaha katika gereza hilo kwa sababu wamejirekebisha.

 

5 years ago

Michuzi

THBUB: Msamaha kwa Wafungwa ni hatua muhimu kuzuia maambukizi ya Korona Magerezani

Na Mbaraka Kambona,

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) amesema uamuzi wa Mheshimiwa Rais, Dkt. John Pombe Magufuli wa kuwasamehe wafungwa 3973 ni hatua muhimu katika kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya maradhi yanayosababishwa na Virusi vya Korona.

Jaji Mwaimu aliyasema hayo leo Mei 7, 2020 Ofisini kwake jijini Dodoma alipokuwa akitoa mtazamo wake juu ya jitihada za Serikali za kudhibiti kuenea kwa maradhi hatari ya Korona.

Alieleza kuwa msamaha huo ni muhimu...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI APONGEZWA KUTOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA, INASAIDIA KUZUIA MAAMBUKIZI YA CORONA

Na Mbaraka Kambona, Dodoma
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) amesema uamuzi wa kuwasamehe wafungwa 3973 uliofanywa na Rais Dk. John Magufuli (pichani) ni hatua muhimu katika kudhibiti kusambaa kwa maambukizi  ya  maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona.

Jaji Mwaimu aliyasema hayo leo Mei 7, 2020 Ofisini kwake jijini Dodoma alipokuwa akitoa mtazamo wake juu ya jitihada za Serikali za kudhibiti kuenea kwa maradhi hatari ya Korona. 

Alieleza   kuwa msamaha huo ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafungwa wafanya ujangili magerezani

Kwa wiki ya tatu mfululizo magazeti ya Mwananchi Jumamosi na Jumapili yamekuwa yakikuletea Ripoti Maalumu kuhusu baadhi ya watu wanaoendesha uhalifu wakiwa gerezani hasa ujangili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magufuli awanyima likizo makandarasi

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amewataka wahandisi wote nchini kutokwenda likizo kwa ajili ya Sikukuu ya Pasaka hadi miundombinu iliyoharibiwa na mvua itakapokamilika kukarabatiwa. Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

Vita ya ujangili yaungwa mkono,Kikosi cha kupambana na Ujangili chapata zana za kisasa

Kikosi cha kupambana na ujangili nchini kimepata vitendea kazi kutoka kwa wadau wa sekta ya utalii vitakavyowezesha kukabiliana na matukio ya ujangili yaliyoshika kasi nchini na kuhatarisha kutoweka baadhi ya wanyama.
Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni magari matano aina ya Land Cruser yenye thamani ya Sh 750 milioni,bunduki za kivita 50 aina ya Ak 47 na risasi 10,000 na Magazini 20 ambazo thamani haikutajwa kwa kwasababu za kiusalama.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani