KAMPUNI ZA ASAS ZAONGOZA KWA ULIPAJI KODI BORA KWA MKOA WA IRINGA
Mkurugenzi wa makampuni ya Asas Bw Salim Abri Asas kushoto akipokea cheti maalum kutoka kwa kaimu mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Letici Warioba baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika ulipaji kodi mkoa wa Iringa leo.Meneja wa TRA mkoa wa Iringa Rosalia Mwenda akimpongeza Bw Asas kwa ushindi katika ulipaji kodi Cheti kilichotolewa kwa kampuni ya Asas Salim Asas akionyesha cheti kwa wanahabari baada ya kukabidhiwa cheti hicho kwa kuwa mlipaji kodi mzuri.
KWA HABARI ZAIDI...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo26 Nov
KAMPUNI YA KONYAGI YANYAKUWA TUZO MBILI ZA ULIPAJI KODI BORA NCHINI
5 years ago
CCM BlogMADEREVA BAJAJI IRINGA WATAJIRIKA KWA UDHAMINI WA KAMPUNI YA ASAS
KAMPUNI ya Asas Group ya mjini Iringa imeudhamini Umoja wa Madereva Bajaj Iringa (UMBI) kupata mkopo wa zaidi ya Sh Milioni 650 katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita-uliowawezesha kununua bajaj 97 zilizokopeshwa kwa mwanachama mmoja mmoja.
Kati ya bajaj hizo, bajaj 40 zenye thamani ya Sh 280 zilikabidhiwa juzi...
10 years ago
Dewji Blog13 Jun
Kampuni ya Asas Dairies Ltd kwa mwaka wa tatu mfululizo yashikilia tuzo ya ubora, yazibwaga kampuni kongwe
Medali ,vyeti na tuzo ya ushindi ambayo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda tena mwaka huu katika maonyesho ya maziwa mkoani Mara.
Vyeti na medali tatu ambazo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda tena.
Baadhi ya bidhaa za kampuni ya Asas...
10 years ago
Mwananchi16 Nov
MCL yatunukiwa kwa kuhamasisha ulipaji kodi
10 years ago
Raia Tanzania08 Jul
TRA yahamasisha ulipaji kodi kwa hiari
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema kwa mwezi inakusanya takriban Sh. bilioni 900 kutokana na mapato ya kodi nchini.
Mkuu wa Utafiti katika Idara ya Utafiti na Sera TRA, Happyson Nkya, alisema hayo kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam.
Alisema ukusanyaji huo wa mapato umetokana na kujiimarisha katika kutoa huduma na mikakati mbalimbali ya kukabiliana na wakwepa kodi.
“Baadhi ya watu wamekuwa wanakwepa kodi, ila kwa sasa tumejiimarisha kwa...
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA ASAS DAIRIES LTD KWA MWAKA WA TATU MFULULIZO YASHIKILIA TUZO YA UBORA ,YAZIBWAGA KAMPUNI KONGWE TENA WAZIRI KAMANI APONGEZA
Hii ndio kampuni iliyoweza kushinda tuzo ya uboraMedali ,vyeti na tuzo ya ushindi ambayo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda tena mwaka huu katika maonyesho ya maziwa mkoani Mara.Kwa habari kamili BOFYA HAPA
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Kampuni za simu, madini zaongoza kwa unyonyaji
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA ASAS IMEKABIDHI (FULL BODY MACHINE) HOSPITALI YA RUFAA IRINGA
Afisa Usalama, Afya, Mazingira na Ubora wa kampuni ya Asas Cosmas Charles akimkabidhi FULL BODY MACHINE kwa mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya mkoani Iringa Dr Alfredy Mwakalebela.
Mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya mkoani Iringa Dr Alfredy Mwakalebela akiwa anapita katikaFULL BODY MACHINE
Afisa Usalama, Afya, Mazingira na Ubora wa kampuni ya Asas Cosmas Charles akiwa anapita katikaFULL BODY MACHINE Afisa Usalama, Afya, Mazingira na Ubora wa kampuni ya Asas Cosmas Charles...
11 years ago
Dewji Blog03 May
Serikali yawataka wanahabari kuhamasisha umma ulipaji kodi kwa maendeleo ya taifa
Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Adam Malima akifungua rasmi mafunzo hayo ya siku pili kwa waandishi wa habari za kodi nchini jijini Dar es Salaam.
Na Damas Makangale, MOblog Tanzania
SERIKALI imewataka waandishi wa habari nchini kuelimisha Watanzania umuhimu wa kulipa kodi ikiwa ni pamoja na kuwaeleza madhara ya kukwepa kulipa kodi hiyo kwa taifa.
Hayo yamesemwa jana jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Adam Malima, wakati akifungua mafunzo ya siku pili ya kodi kwa...