Serikali yawataka wanahabari kuhamasisha umma ulipaji kodi kwa maendeleo ya taifa
Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Adam Malima akifungua rasmi mafunzo hayo ya siku pili kwa waandishi wa habari za kodi nchini jijini Dar es Salaam.
Na Damas Makangale, MOblog Tanzania
SERIKALI imewataka waandishi wa habari nchini kuelimisha Watanzania umuhimu wa kulipa kodi ikiwa ni pamoja na kuwaeleza madhara ya kukwepa kulipa kodi hiyo kwa taifa.
Hayo yamesemwa jana jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Adam Malima, wakati akifungua mafunzo ya siku pili ya kodi kwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Nov
MCL yatunukiwa kwa kuhamasisha ulipaji kodi
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
VIDEO: Mhe.Saada Mkuya awataka wananchi kushirikiana na serikali katika kuchangia maendeleo ya nchi kupitia ulipaji wa kodi
Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akizungumza leo Bungeni mjini Dodoma.
11 years ago
Michuzi16 Jun
10 years ago
Raia Tanzania08 Jul
TRA yahamasisha ulipaji kodi kwa hiari
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema kwa mwezi inakusanya takriban Sh. bilioni 900 kutokana na mapato ya kodi nchini.
Mkuu wa Utafiti katika Idara ya Utafiti na Sera TRA, Happyson Nkya, alisema hayo kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam.
Alisema ukusanyaji huo wa mapato umetokana na kujiimarisha katika kutoa huduma na mikakati mbalimbali ya kukabiliana na wakwepa kodi.
“Baadhi ya watu wamekuwa wanakwepa kodi, ila kwa sasa tumejiimarisha kwa...
10 years ago
MichuziKAMPUNI ZA ASAS ZAONGOZA KWA ULIPAJI KODI BORA KWA MKOA WA IRINGA
KWA HABARI ZAIDI...
9 years ago
StarTV12 Nov
 Serikali yawataka wananchi kujiamulia vazi la Taifa
Serikali yatoa uhuru kwa wananchi kujiamulia vazi la Taifa litakalowatambulisha watanzania baada ya mapendekezo ya wadau kuwa utumike mkabala wa kupata vitambaa vya vazi hilo.
Serikali imefikia hatua hiyo baada ya kutafakari kwa kina juu ya aina gani ya kitambaa, rangi na mshono wa vazi hilo na hatimaye kutoa wito kwa jamii yenyewe kujichagulia aina ya vazi la Taifa watakalopendezwa nalo.
Akitambulisha aina ya vitambaa vilivyopendekezwa kutumika kama vazi la Taifa Mkurugenzi wa Utamaduni...
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
Serikali yatakiwa kusimamia gesi kwa maendeleo ya taifa
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imeshauriwa kuwekeza mapato ya rasilimali zake hususan mafuta na gesi ili kuleta maendeleo endelevu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadaye.
Vile vile imetakiwa kuhaikisha matumizi ya ndani kwenda sambamba na mapato hayo ikiwemo kuongeza tija katika matumizi ya sekta za umma katika ngazi zote.
Mkurugenzi wa kampuni ya Pan African Energy, Patrick Rutabanzibwa, alisema hayo jijini Dar es Salaam jana kwenye mkutano wa kujadili mikakati ya kuhakikisha rasilimali...
10 years ago
Habarileo23 Dec
Shein asisitiza ulipaji kodi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ametoa wito wa kuongeza ufanisi katika ulipaji na ukusanyaji wa kodi nchini.
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Mfumo wa ulipaji kodi wawatesa wafanyabiashara