MCL yatunukiwa kwa kuhamasisha ulipaji kodi
Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), jana ilitunukiwa cheti cha ushindi wa kuhamasisha jamii kulipa kodi ya Serikali kwa mwaka 2014 na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog03 May
Serikali yawataka wanahabari kuhamasisha umma ulipaji kodi kwa maendeleo ya taifa
Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Adam Malima akifungua rasmi mafunzo hayo ya siku pili kwa waandishi wa habari za kodi nchini jijini Dar es Salaam.
Na Damas Makangale, MOblog Tanzania
SERIKALI imewataka waandishi wa habari nchini kuelimisha Watanzania umuhimu wa kulipa kodi ikiwa ni pamoja na kuwaeleza madhara ya kukwepa kulipa kodi hiyo kwa taifa.
Hayo yamesemwa jana jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Adam Malima, wakati akifungua mafunzo ya siku pili ya kodi kwa...
10 years ago
Raia Tanzania08 Jul
TRA yahamasisha ulipaji kodi kwa hiari
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema kwa mwezi inakusanya takriban Sh. bilioni 900 kutokana na mapato ya kodi nchini.
Mkuu wa Utafiti katika Idara ya Utafiti na Sera TRA, Happyson Nkya, alisema hayo kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam.
Alisema ukusanyaji huo wa mapato umetokana na kujiimarisha katika kutoa huduma na mikakati mbalimbali ya kukabiliana na wakwepa kodi.
“Baadhi ya watu wamekuwa wanakwepa kodi, ila kwa sasa tumejiimarisha kwa...
10 years ago
MichuziKAMPUNI ZA ASAS ZAONGOZA KWA ULIPAJI KODI BORA KWA MKOA WA IRINGA
KWA HABARI ZAIDI...
10 years ago
Habarileo23 Dec
Shein asisitiza ulipaji kodi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ametoa wito wa kuongeza ufanisi katika ulipaji na ukusanyaji wa kodi nchini.
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Mfumo wa ulipaji kodi wawatesa wafanyabiashara
10 years ago
StarTV15 Apr
Elimu ulipaji kodi yachangia migomo wafanyabiashara.
Na Zephania Renatus,
Kilimanjaro.
Ukosefu wa elimu juu ya sheria ya ulipaji kodi kwa wafanyabiashara ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kusababisha migomo ya mara kwa mara ya wafanyabiashara katika maeneo mbalimbali nchini.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama amesema hayo mjini Moshi katika mkutano na wafanyabiashara na uongozi wa Mamlaka ya Mapato TRA mkoani humo uliolenga kujadili kero mbalimbali zinazowakabili wafanyabiashara.
Miongoni mwa changamoto zinazowakabili...
10 years ago
MichuziTBL YAWA KINARA ULIPAJI KODI TANZANIA
10 years ago
Mwananchi24 Jun
MAONI : Wagombea watakiwe kuonyesha rekodi ya ulipaji kodi
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
TRA yataka elimu ya ulipaji kodi itolewe shuleni
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari nchini wakiandaliwa vizuri kwa kuwapati elimu ya kodi, taifa litapata walipakodi walio waadilifu. Mkurugenzi wa Huduma na...