Elimu ulipaji kodi yachangia migomo wafanyabiashara.
Na Zephania Renatus,
Kilimanjaro.
Ukosefu wa elimu juu ya sheria ya ulipaji kodi kwa wafanyabiashara ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kusababisha migomo ya mara kwa mara ya wafanyabiashara katika maeneo mbalimbali nchini.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama amesema hayo mjini Moshi katika mkutano na wafanyabiashara na uongozi wa Mamlaka ya Mapato TRA mkoani humo uliolenga kujadili kero mbalimbali zinazowakabili wafanyabiashara.
Miongoni mwa changamoto zinazowakabili...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Mfumo wa ulipaji kodi wawatesa wafanyabiashara
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
TRA yataka elimu ya ulipaji kodi itolewe shuleni
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari nchini wakiandaliwa vizuri kwa kuwapati elimu ya kodi, taifa litapata walipakodi walio waadilifu. Mkurugenzi wa Huduma na...
5 years ago
MichuziZaidi ya wafanyabiashara 2000 wapatiwa elimu ya kodi Ilala
Akizungumzia zoezi hilo Afisa Msimamizi wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wLMVNjm7fVg/XlerjdrTZ_I/AAAAAAALfrs/awiQ38Vm7t0F7eBb_p-1KFS_9APvNnq4gCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WAFANYABIASHARA 1,950 WAPATIWA ELIMU YA KODI MKOANI IRINGA
Jumla ya wafanyabiashara 1,950 wa Mkoa wa Iringa wamefikiwa na kupatiwa elimu ya kodi wakati wakampeni ya elimu kwa mlipakodi iliyofanyika kuanzia tarehe 17 hadi 27 Februari,2020.
Kampeni hiyo iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kuwafikia na kuwaelimisha baadhi ya wafanyabiashara wa Wilaya za Kilolo, Manispaa ya Iringa na Mufindi.
Akizungumza mara baada ya kuhitimisha kampeni hiyo mkoani humo, Afisa Msimamizi wa Kodi Mwandamizi wa TRA...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-U6nqs6wL0aw/XmnOcESjz7I/AAAAAAAAGu0/buBr_a3MDAwhYI1RyRbPXxYbVbvKytjrgCLcBGAsYHQ/s72-c/58cb99e0-2500-4061-9177-d515a3bbcefd.jpg)
WAFANYABIASHARA MPAKA WA KASUMULU WAIPONGEZA TRA KWA KUWAPA ELIMU YA KODI
Wafanyabiashara katika mpaka wa Kasumulu unaotenganisha nchi za Tanzania na Malawi uliopo wilaya ya Kyela mkoa wa Mbeya wameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kutoa elimu ya Kodi ambayo inawaongezea uelewa wa masuala ya Kodi na ari ya kuilipa kwa hiari.
Hayo yameyasemwa na wafanyabiashara wa mpaka wa Kasumulu mara baada ya kutembelewa katika b8ashara zao na kupewa elimu ya ulipaji kodi na maofisa wa TRA wanaofanya kampeni maalumu ya elimu ya Kodi ya mkoa...
10 years ago
Habarileo23 Dec
Shein asisitiza ulipaji kodi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ametoa wito wa kuongeza ufanisi katika ulipaji na ukusanyaji wa kodi nchini.
10 years ago
Raia Tanzania08 Jul
TRA yahamasisha ulipaji kodi kwa hiari
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema kwa mwezi inakusanya takriban Sh. bilioni 900 kutokana na mapato ya kodi nchini.
Mkuu wa Utafiti katika Idara ya Utafiti na Sera TRA, Happyson Nkya, alisema hayo kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam.
Alisema ukusanyaji huo wa mapato umetokana na kujiimarisha katika kutoa huduma na mikakati mbalimbali ya kukabiliana na wakwepa kodi.
“Baadhi ya watu wamekuwa wanakwepa kodi, ila kwa sasa tumejiimarisha kwa...
10 years ago
MichuziTBL YAWA KINARA ULIPAJI KODI TANZANIA
10 years ago
Mwananchi16 Nov
MCL yatunukiwa kwa kuhamasisha ulipaji kodi