Zaidi ya wafanyabiashara 2000 wapatiwa elimu ya kodi Ilala
Na Oliver NjunwaZoezi la kuelimisha walipakodi katika maeneo ya biashara zao (mlango kwa mlango) ambalo linafanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika Mkoa wa kodi Ilala limeendela kwa mafanikio ambapo jumla ya wafanyabiashara 2,165 wamepatiwa elimu katika siku sita za zoezi hilo.Wafanyabiashara waliopatiwa elimu ni katika maeneo ya Tabata, Relini, Bima, Liwiti, Barakuda, Kimanga, Segerea, Kinyerezi, Kisiwani na Bonyokwa Mkoa wa Kodi wa Ilala.
Akizungumzia zoezi hilo Afisa Msimamizi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA 1,950 WAPATIWA ELIMU YA KODI MKOANI IRINGA
Jumla ya wafanyabiashara 1,950 wa Mkoa wa Iringa wamefikiwa na kupatiwa elimu ya kodi wakati wakampeni ya elimu kwa mlipakodi iliyofanyika kuanzia tarehe 17 hadi 27 Februari,2020.
Kampeni hiyo iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kuwafikia na kuwaelimisha baadhi ya wafanyabiashara wa Wilaya za Kilolo, Manispaa ya Iringa na Mufindi.
Akizungumza mara baada ya kuhitimisha kampeni hiyo mkoani humo, Afisa Msimamizi wa Kodi Mwandamizi wa TRA...
10 years ago
StarTV15 Apr
Elimu ulipaji kodi yachangia migomo wafanyabiashara.
Na Zephania Renatus,
Kilimanjaro.
Ukosefu wa elimu juu ya sheria ya ulipaji kodi kwa wafanyabiashara ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kusababisha migomo ya mara kwa mara ya wafanyabiashara katika maeneo mbalimbali nchini.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama amesema hayo mjini Moshi katika mkutano na wafanyabiashara na uongozi wa Mamlaka ya Mapato TRA mkoani humo uliolenga kujadili kero mbalimbali zinazowakabili wafanyabiashara.
Miongoni mwa changamoto zinazowakabili...
5 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA MPAKA WA KASUMULU WAIPONGEZA TRA KWA KUWAPA ELIMU YA KODI
Wafanyabiashara katika mpaka wa Kasumulu unaotenganisha nchi za Tanzania na Malawi uliopo wilaya ya Kyela mkoa wa Mbeya wameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kutoa elimu ya Kodi ambayo inawaongezea uelewa wa masuala ya Kodi na ari ya kuilipa kwa hiari.
Hayo yameyasemwa na wafanyabiashara wa mpaka wa Kasumulu mara baada ya kutembelewa katika b8ashara zao na kupewa elimu ya ulipaji kodi na maofisa wa TRA wanaofanya kampeni maalumu ya elimu ya Kodi ya mkoa...
10 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA MANISPAA YA SUMBAWANGA WALALAMIKIA KODI MBALIMBALI SERIKALINI, MKUU WA MKOA WA RUKWA AWATAKA KUWA WAZALENDO KULIPA KODI KWA HIARI KUJENGA NCHI YAO
10 years ago
MichuziMeya wa manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda akabidhi soko jipya la SIMU 2000 kwa wafanyabiashara
10 years ago
MichuziNjombe wapatiwa elimu ya virutubishi
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Wajasiriamali Mkata wapatiwa elimu
SHIRIKA la Atomtek Nuclear Energy limetoa msaada wa kielimu kwa kikundi cha kinamama wajasiriamali kilichopo Kata ya Mkata, Mkoa wa Tanga kwa lengo la kuwainua kiuchumi na kuondokana na umasikini....
9 years ago
StarTV21 Aug
UN yapanda miti zaidi ya 2000 kunusuru mlima Kilimanjaro.
Mgeni rasmi Mwakilishi wa Makamu wa Rais, Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira, Binilith Mahenge (wa pili kushoto) akiwasili kwenye kijiji cha Marua kata Kiruavunjo, mkoani Kilimanjaro kwa ajili kupanda miti ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa na kupokelewa na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa...
9 years ago
Dewji Blog21 Aug
UN yapanda miti zaidi 2000 kunusuru Mlima Kilimanjaro
Sikiliza kionjo cha hotuba ya Kiswahili ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez hapa chini.
Mgeni rasmi Mwakilishi wa Makamu wa Rais, Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira, Binilith Mahenge (wa pili kushoto) akiwasili kwenye kijiji cha Marua kata Kiruavunjo, mkoani Kilimanjaro kwa ajili kupanda miti ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa na...