Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Njombe wapatiwa elimu ya virutubishi

 Afisa lishe wa Wilaya ya Njombe akitoa mada kwenye semina ya maafisa watendajji wa kata na viongozi wa vijiji wakati wa semina kuhusu kuongeza virutubishi kwenye vyakula iliyofanyika wilayani humo katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Njombe leo.Kampeni za matumizi ya vyakula vyenye virutubishi zinaendelea katika wilaya mbalimbali nchini.

 Wanakijiji cha Ngalanga wilayani Njombe wakisikiliza mtaalamu wa lishe wa wilaya Bi Bertha Nyigu wakati wa semina juu ya matumizi ya vyakula...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DODOMA MJINI WAPATIWA ELIMU YA VIRUTUBISHI

 Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini,Bwana Lephy Gembe akiwasili  katika kata ya Mpunguzi katika shughuli za uhamasishaji wa  kutumia vyakula vyenye virutubushi ambao unafanywa na USAID kupitia mradi wake wa Tuboreshe Chakula.  Mkurugenzi Mkazi wa mradi wa Tuboreshe Chakula,Unaofadhiliwa na Shirika la misaada la watu wa marekani USAID Bi Rebecca Savoie katikati,akitoa paketi ya unga wa uji uliochanganywa na virutubishi kwa mmoja wa wakazi wa kata ya Mpunguzi aliyehudhuria uhamasishaji wa lishe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajasiriamali Mkata wapatiwa elimu

SHIRIKA la Atomtek Nuclear Energy limetoa msaada wa kielimu kwa kikundi cha kinamama wajasiriamali kilichopo Kata ya Mkata, Mkoa wa Tanga kwa lengo la kuwainua kiuchumi na kuondokana na umasikini....

 

10 years ago

Michuzi

wakazi wa Meru wapatiwa elimu ya lishe


Mtaalamu wa Lishe Tom Mwaipenye kutoka taasisi ya Foot Print, akiwaeleza akina mama waishio maeneo yanayozunguka hospitali ya Halmashauri ya Meru mkoani Arusha, umuhimu wa Virutubishi kwa afya bora ya mwili na akili za mtoto, ikiwa ni sehemu ya kampeni za kuelimisha umma juu ya faida za kutumia Virutubishi ili kuboresha afya. Kampeni hizi zinaendeshwa na serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Taasisi ya Chakula na Lishe, na Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania
Akina mama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

700 wapatiwa elimu ya uzazi wa mpango

JUMLA ya wasichana 700 wenye umri kati ya miaka 10 hadi 19 waliokatisha masomo katika shule za msingi na sekondari wilayani Kahama kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kubeba mimba wamejitokeza...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA KIMASAI WAPATIWA ELIMU YA LISHE

Mtaalamu wa masuala ya lishe na Afya ya jamii kutoka taasisi ya Footprint,Allan Rwechungura akiongea na viongozi wa Wilaya ya Monduli juu ya matumizi ya vyakula vilivyoongezewa virutubishi.Kampeni ya kuhamasisha matumizi a vyakula vilivyoongezewa virutubishi vijijii inaendelea katika wilaya mbalimbali nchini. Viongozi wa kabila la Wamasai maarufu kama ‘Malaigwanani” wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa wataalamu wa masuala ya lishe kutoka wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakati wa...

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOA WA NJOMBE YAFANA, MKUU WA MKOA ATILIA MKAZO SUALA LA ELIMU

 Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi akihutubia mamia ya wananchi waliofurika viwanja vya mabehewani wilayani Makete mkoani Njombe katika maadhimisho ya wiki ya elimu kimkoa.(Picha/habari na Edwin Moshi, Makete) Licha ya serikali kuendelea kutatua changamoto lukuki katika sekta ya elimu nchini, wadau wa elimu mkoani Njombe wametakiwa kuwajibika kila mmoja kwa nafasi yake, ili kuinua kiwango cha elimu mkoani humo kwa kuwa ni agizo la serikali hasa katika mkakati wa matokeo...

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI 20 WAPATIWA UDHAMINI WA MASOMO YA ELIMU YA JUU

Kushoto ni Padri Kassase akiwa na mkuu  wa chuo cha Mlimani School of Professional Students, Hassani Ngoma katika makabidhiano ya hati ya udhamini wa  wanafunzi .
Viongozi na wawakilishi wa dini ya Kikristo na Kislamu wakiwa katika majadiliano kabla ya mkutano kuanza.…

 

11 years ago

Michuzi

Wakaazi wa Morogoro mjini wapatiwa elimu ya lishe

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mhe Anthony Mataka(Kushoto) akiwa na wataalamu wa lishe toka USAID Tuboreshe chakula, akishiriki kwa vitendo  kuandaa uji wa mtoto wa miezi 6 hadi miaka 5 kwa kuchanganya virutubishi tayari kwa kumnywesha mtoto katika kampeni za uhamasishaji na uelimishaji wa virutubishi, katika viwanja vya Shule ya msingi Mafisa A mkoani Morogoro. Kampeni hizi zimedhaminiwa na shirika la misaada la marekani USAID Tuboreshe chakula. Mkuu wa wilaya Mvomero, Mhe. Anthony Mataka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani