Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein asisitiza ulipaji kodi

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ametoa wito wa kuongeza ufanisi katika ulipaji na ukusanyaji wa kodi nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Shein asisitiza kodi kwa maendeleo

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.RAIS wa Zanziari Dk Ali Mohamed Shein amewataka wafanyabiashara na wananchi wote kuendelea kulipa kodi ili kuiwezesha Serikali kutekeleza majukumu yake ipasavyo ikiwemo kutekeleza miradi ya maendeleo na kutoa huduma bora kwa wananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mfumo wa ulipaji kodi wawatesa wafanyabiashara

Umoja wa Wafanyabiashara Tanzania umeiomba Serikali kuboresha mfumo wa utozaji kodi kwa kutumia Mashine za Kieletroniki za Malipo (EFD) kwa kuwa makato wanayokatwa hayalingani na thamani ya ununuzi wa bidhaa husika.

 

10 years ago

Raia Tanzania

TRA yahamasisha ulipaji kodi kwa hiari

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema kwa mwezi inakusanya  takriban Sh. bilioni 900 kutokana na mapato ya kodi nchini.

Mkuu wa Utafiti katika Idara ya Utafiti na Sera TRA, Happyson Nkya, alisema hayo kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam.

Alisema ukusanyaji huo wa mapato umetokana na kujiimarisha katika kutoa huduma na mikakati mbalimbali ya kukabiliana na wakwepa kodi.

“Baadhi ya watu wamekuwa wanakwepa kodi, ila kwa sasa tumejiimarisha kwa...

 

10 years ago

StarTV

Elimu ulipaji kodi yachangia migomo wafanyabiashara.

Na Zephania Renatus,

Kilimanjaro.

 

Ukosefu wa elimu juu ya sheria ya ulipaji kodi kwa wafanyabiashara ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kusababisha migomo ya mara kwa mara ya wafanyabiashara katika maeneo mbalimbali nchini.

 

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama amesema hayo mjini Moshi katika mkutano na wafanyabiashara na uongozi wa Mamlaka ya Mapato TRA mkoani humo uliolenga kujadili kero mbalimbali zinazowakabili wafanyabiashara.

 

Miongoni mwa changamoto zinazowakabili...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YAWA KINARA ULIPAJI KODI TANZANIA

Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha, akikabidhi Kombe la mshindi wa Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Alois Qande, wakati wa maadhimisho ya nane ya mlipa kodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, Dar es Salaam hivi karibuni.

 

10 years ago

Mwananchi

MCL yatunukiwa kwa kuhamasisha ulipaji kodi

Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), jana ilitunukiwa cheti cha ushindi wa kuhamasisha jamii kulipa kodi ya Serikali kwa mwaka 2014 na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Wagombea watakiwe kuonyesha rekodi ya ulipaji kodi

Kama kuna jambo ambalo linatia doa mchakato mzima wa kuwapata viongozi wa ngazi za juu katika nchi yetu, jambo hilo ni mifumo iliyopo kufumbia macho umuhimu wa wagombea uongozi wa kisiasa katika ngazi hizo kuonyesha rekodi yao ya ulipaji wa kodi za Serikali.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TRA yataka elimu ya ulipaji kodi itolewe shuleni

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari nchini wakiandaliwa vizuri kwa kuwapati elimu ya kodi, taifa litapata walipakodi walio waadilifu. Mkurugenzi wa Huduma na...

 

5 years ago

Michuzi

JITIHADA ZA RAIS MAGUFULI ZAONGEZA ARI YA ULIPAJI KODI TANGA


Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga Bi. Specioza Owure akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo ambapo amewaomba wafanyabiashara waendelee kutoa ushirikiano kwa maafisa wa TRA wanaofanya kampeni hiyo.

Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Julius Mjenga (kulia) akimuelimisha Mfanyabiashara wa jijini Tanga wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani