MAONI : Wagombea watakiwe kuonyesha rekodi ya ulipaji kodi
Kama kuna jambo ambalo linatia doa mchakato mzima wa kuwapata viongozi wa ngazi za juu katika nchi yetu, jambo hilo ni mifumo iliyopo kufumbia macho umuhimu wa wagombea uongozi wa kisiasa katika ngazi hizo kuonyesha rekodi yao ya ulipaji wa kodi za Serikali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Dec
Shein asisitiza ulipaji kodi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ametoa wito wa kuongeza ufanisi katika ulipaji na ukusanyaji wa kodi nchini.
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Mfumo wa ulipaji kodi wawatesa wafanyabiashara
10 years ago
Raia Tanzania08 Jul
TRA yahamasisha ulipaji kodi kwa hiari
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema kwa mwezi inakusanya takriban Sh. bilioni 900 kutokana na mapato ya kodi nchini.
Mkuu wa Utafiti katika Idara ya Utafiti na Sera TRA, Happyson Nkya, alisema hayo kwenye Maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam.
Alisema ukusanyaji huo wa mapato umetokana na kujiimarisha katika kutoa huduma na mikakati mbalimbali ya kukabiliana na wakwepa kodi.
“Baadhi ya watu wamekuwa wanakwepa kodi, ila kwa sasa tumejiimarisha kwa...
10 years ago
MichuziTBL YAWA KINARA ULIPAJI KODI TANZANIA
10 years ago
Mwananchi16 Nov
MCL yatunukiwa kwa kuhamasisha ulipaji kodi
10 years ago
StarTV15 Apr
Elimu ulipaji kodi yachangia migomo wafanyabiashara.
Na Zephania Renatus,
Kilimanjaro.
Ukosefu wa elimu juu ya sheria ya ulipaji kodi kwa wafanyabiashara ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kusababisha migomo ya mara kwa mara ya wafanyabiashara katika maeneo mbalimbali nchini.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama amesema hayo mjini Moshi katika mkutano na wafanyabiashara na uongozi wa Mamlaka ya Mapato TRA mkoani humo uliolenga kujadili kero mbalimbali zinazowakabili wafanyabiashara.
Miongoni mwa changamoto zinazowakabili...
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
TRA yataka elimu ya ulipaji kodi itolewe shuleni
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari nchini wakiandaliwa vizuri kwa kuwapati elimu ya kodi, taifa litapata walipakodi walio waadilifu. Mkurugenzi wa Huduma na...
5 years ago
MichuziJITIHADA ZA RAIS MAGUFULI ZAONGEZA ARI YA ULIPAJI KODI TANGA
Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga Bi. Specioza Owure akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo ambapo amewaomba wafanyabiashara waendelee kutoa ushirikiano kwa maafisa wa TRA wanaofanya kampeni hiyo.
Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Julius Mjenga (kulia) akimuelimisha Mfanyabiashara wa jijini Tanga wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi inayoendelea mkoani...
10 years ago
Vijimambo26 Nov
KAMPUNI YA KONYAGI YANYAKUWA TUZO MBILI ZA ULIPAJI KODI BORA NCHINI