89 hoi kwa kunywa juisi harusini
Na Editha Karlo, Kigoma
WAKAZI 89 wa Kijiji cha Rugunga, Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamelazwa katika hospitali ya wilaya hiyo, baada ya kunywa juisi ya kienyeji inayosadikiwa kuwa na sumu wakati wa sherehe ya harusi.
Tukio hilo limetokea Septemba 6, mwaka huu, baada ya watu hao kunywa juisi na kula chakula kilichoandaliwa katika sherehe hiyo.
Baada ya muda mfupi, waalikwa hao walianza kuumwa matumbo na kuharisha mfululizo hali iliyofanya kukimbizwa hospitali kwa ajili ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo07 Jan
8 hoi kwa kunywa maziwa yenye sumu
WATU wanane wa familia tatu tofauti, wakiwemo wanafunzi wa shule ya msingi, wamelazwa katika Hospitali ya Misheni ya Malkia wa Ulimwengu Puma wilayani Ikungi mkoani hapa baada ya kunywa maziwa yanayodhaniwa kuwa na sumu.
10 years ago
VijimamboBANZA STONE YUKO HOI, HAZUNGUMZI, AMEGOMA KULA CHAKULA NA KUNYWA DAWA, WASANII WENGI WAMEMTENGA — MAMA MZAZI
Akiongea na Ripoti ya kipindi cha Ubaoni cha EFM juzi, mama huyo alisema hadi siku hiyo Banza alikuwa amegoma kula kwa siku tatu mfululizo.Aliongea kuwa pamoja na kuugua hivyo bado wasanii wenzake wameshindwa kwenda kumjulia hali.“Mpaka sasa sijamuona mtu yeyote aliyekuja kumshughulikia na kumwangalia, wamemwacha hivi hivi. Na mimi siwezi kuwalaumu...
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Bei ya Juisi ya machungwa imepanda kwa aslimia 20
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Kwa nini bei ya juisi ya machungwa katika soko la dunia imepanda?
9 years ago
Bongo514 Nov
New Music: Layla (The Voice Fairy) — Hoi Hoi
Wimbo wa msanii anayechipukia, Layla A. Walden aka The Voice Fairy uitwao ‘Hoi Hoi.’ Umetayarishwa kwenye studio za AM Records.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
Habarileo26 Feb
Hausigeli afa kwa kunywa sumu
MFANYAKAZI wa ndani aliyetambuliwa kwa jina la Debora Makenda (18), amekufa baada ya kunywa sumu, ambayo ni dawa ya kuoshea mifugo.
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Watu 25 wafa kwa kunywa gongo India
11 years ago
GPLKAHAWA, CHAI: KUNYWA LAKINI KWA UANGALIFU!
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Watu 270 walazwa kwa kunywa togwa