Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI IWEKE KIPAUMBELE KWENYE LISHE

Katibu Mtendaji wa Shirika lisilokua la kiserikali la ANGONET lenye makao makuu  jijini Arusha ,Petter Bayo (kulia)  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya masuala ya lishe na kuitaka serikali iweke vipaumbele katika lishe ili kutokomeza matatizo ya udumavu na utapiamlo,Katikati ni Mratibu wa Angonet ,Petro Ahham ,kushoto ni Jovitha Mlay mwanachama wa shirika hilo(habari picha na libeneke la kaskazini blog)
Serikali imetakiwa kuweka vipaumbele katika masuala ya lishe ili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Sanya: Serikali iweke nembo katika tanzanite

 Mbunge wa Mji Mkongwe, Ibrahimu Mohamed SanyaSERIKALI imeshauriwa kuweka nembo maalumu katika madini ya tanzanite ili kuepuka wizi unaoendelea kufanywa na nchi mbalimbali na kujipatia mapato tofauti na Tanzania inayozalisha madini hayo pekee.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali iweke dawati la TAKUKURU Hazina — Ngeleja

BUNGE limeishauri serikali kuweka dawati maalumu la maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwenye Wizara ya Fedha, ili kudhibiti mianya ya ubadhirifu wa fedha za miradi...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

KAMA KWELI SERIKALI INATAKA KUTIBU MAJIPU IWEKE WAZI RIPOTI ZA MWAKYEMBE NA SITTA - MNYIKA

Mbunge wa Jimbo la Kibamba, John Mnyika, ameomba ripoti za kamati za uchunguzi zilizoundwa na mawaziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe na Samuel Sitta, kuhusu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ziwekwe hadharani.Amesema kuwekwa hadharani kwa ripoti hizo kutaondoa usiri na kusaidia kubaini ufisadi uliokithiri katika mamlaka hiyo ili hatua za kuwasimamisha vigogo wa TPA na wa Mamlaka

 

11 years ago

Habarileo

Kipaumbele kwenye mpunga, miwa

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza maeneo ya kipaumbele katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa, miongoni mwake ikiwa ni kuendeleza mashamba makubwa ya kibiashara kwa mazao ya miwa na mpunga.

 

11 years ago

Mwananchi

Nanyaro: Kipaumbele kiwekwe kwenye elimu

Ephata Nanyaro ni miongoni mwa vijana wanaojitanabaisha kuwa wanachama na viongozi waaminifu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Arusha.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kutoa kipaumbele uwezeshaji wanawake

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia SimbaWAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba amesema serikali za awamu zote nne za uongozi zimekuwa mstari wa mbele wa kuhakikisha zinatoa kipaumbele katika masuala yanayohusu uwezeshaji wanawake kwenye nyanja zote ili kuleta usawa wa kijinsia.

 

10 years ago

Michuzi

MADEREVA WAPEWA KIPAUMBELE KWENYE KAMATI YA KUSIMAMIA USAFIRISHAJI.

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.

Madereva wamepewa kipaumbele  kwenye tume itakayokuwaikisimamia usafirishaji,kwani tume hiyo itakuwa na wajumbe watano  kutoka  Umoja wa madereva tuu na kutoka sekta nyingine watakuwa wajumbe watatu .


Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda  wakati akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake  jijini Dar es Salaam leo.


Makonda amesema kuwa kamati hiyo haitaundwa na serikali, wajumbe watatokana na  uchaguzi wa madereva wenyewe pia  na...

 

10 years ago

Mtanzania

Tanzania haijawekeza kwenye lishe bora ya watoto

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif RashidBILL Gates tajiri mkubwa duniani ambaye ameanzisha Foundation (taasisi ya kutoa misaada) inayosaidia shughuli za maendeleo kama vile huduma za afya, kupambana na Ukimwi, kuimarisha kilimo, kuendeleza elimu na utafiti wa nishati endelevu.
Anaeleza kuwa alipoanza kutembelea vijiji vya Afrika ikiwemo Tanzania alikuwa anakisia umri wa watoto aliokutana nao. Mara kwa mara watoto aliodhani wana umri wa miaka saba au nane umri wao halisi ulikuwa miaka 12 au 13. Watoto wengi wamedumaa kwa ukosefu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kuhamia Dodoma bado kipaumbele cha Serikali?

Mjadala kuhusu Serikali kuhamia Dodoma juzi uliibua mapya bungeni kwa baadhi ya wabunge kusema hicho siyo tena kipaumbele cha Taifa, huku wengine wakisema azima ya Serikali kuhamia Dodoma lazima ibaki palepale.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani