KAMA KWELI SERIKALI INATAKA KUTIBU MAJIPU IWEKE WAZI RIPOTI ZA MWAKYEMBE NA SITTA - MNYIKA
![](http://3.bp.blogspot.com/-FjsMW6f2LSM/VmdzfuvoWGI/AAAAAAAAXX0/pM2WEqq5XJU/s72-c/Pg-4.jpg)
Mbunge wa Jimbo la Kibamba, John Mnyika, ameomba ripoti za kamati za uchunguzi zilizoundwa na mawaziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe na Samuel Sitta, kuhusu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ziwekwe hadharani.Amesema kuwekwa hadharani kwa ripoti hizo kutaondoa usiri na kusaidia kubaini ufisadi uliokithiri katika mamlaka hiyo ili hatua za kuwasimamisha vigogo wa TPA na wa Mamlaka
CHADEMA Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Bomoabomoa Dar? Wanaotoa mimba? Nauli mwendokasi? Majipu ya Dk.Mwakyembe? (+Audio)
Magazeti ya January 6 2016 yako mtaani na hapa ninazo stori kubwakubwa zilizoguswa na uchambuzi wa Magazetini kwenye show ya Powerbreakfast Clouds FM… Waziri Mkuu Majaliwa awaonya madaktari wanaotoa mimba wasichana Ruvuma, atishia kuwachukulia hatua… Mahakama Kuu yazuia bomoabomoa kwenye nyumba 674 Dar, Naibu Waziri Kigwangalla aridhishwa na huduma katika hospitali ya Muhimbili. Wadau wakerwa bei ya […]
The post Bomoabomoa Dar? Wanaotoa mimba? Nauli mwendokasi? Majipu ya Dk.Mwakyembe?...
10 years ago
MichuziSERIKALI IWEKE KIPAUMBELE KWENYE LISHE
Serikali imetakiwa kuweka vipaumbele katika masuala ya lishe ili...
10 years ago
Habarileo05 Feb
Sanya: Serikali iweke nembo katika tanzanite
SERIKALI imeshauriwa kuweka nembo maalumu katika madini ya tanzanite ili kuepuka wizi unaoendelea kufanywa na nchi mbalimbali na kujipatia mapato tofauti na Tanzania inayozalisha madini hayo pekee.
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Serikali iweke dawati la TAKUKURU Hazina — Ngeleja
BUNGE limeishauri serikali kuweka dawati maalumu la maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwenye Wizara ya Fedha, ili kudhibiti mianya ya ubadhirifu wa fedha za miradi...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/fXC81QWTphU/default.jpg)
10 years ago
Habarileo02 Oct
Sitta- Mnyika kanitukana
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amelieleza Bunge hilo kuwa, Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema), aliamua kumtukana yeye na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge. “Bwana mmoja Mnyika ameamua kututukana mimi na Chenge…ametuita maharamia mbele ya mkutano wa hadhara huko Mwanza.
10 years ago
Habarileo02 Dec
Mwakyembe akabidhiwa ripoti ya ‘madudu’ TRL
KAMATI ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) iliyoundwa na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe imekabidhi ripoti ya uchunguzi iliyofanya huku ikitoa mapendekezo ya hatua za kuchukuliwa ili kampuni hiyo irudi katika hali yake.
10 years ago
Mtanzania17 Feb
Sitta amgeuka Dk. Mwakyembe
SHABANI MATUTU NA ELIAS MSUYA, DAR ES SALAAM
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta, amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Madeni Kipande, kwa tuhuma za utendaji mbovu, uliosababisha malalamiko kutoka kwa wadau mbalimbali.
Sitta amechukua uamuzi huo jana jijini Dar es Salaam wakati alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu uamuzi huo ambao umefikiwa baada ya kufanyika kwa kikao cha dharura cha Bodi ya Mamlaka ya Bandari kilichofanyika hivi...
11 years ago
Mwananchi16 Jul
Kafulila adai Serikali inataka kumuua