Sitta- Mnyika kanitukana
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amelieleza Bunge hilo kuwa, Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema), aliamua kumtukana yeye na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge. “Bwana mmoja Mnyika ameamua kututukana mimi na Chenge…ametuita maharamia mbele ya mkutano wa hadhara huko Mwanza.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen11 Apr
Sitta quashes Mnyika’s Union Articles demand
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-FjsMW6f2LSM/VmdzfuvoWGI/AAAAAAAAXX0/pM2WEqq5XJU/s72-c/Pg-4.jpg)
KAMA KWELI SERIKALI INATAKA KUTIBU MAJIPU IWEKE WAZI RIPOTI ZA MWAKYEMBE NA SITTA - MNYIKA
11 years ago
Habarileo12 Apr
Nape amwakia Mnyika
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amemwashia moto mbunge wa Ubungo John Mnyika (Chadema) pamoja na wabunge wengine wa upinzani bungeni, kwa kitendo cha kudai hati za muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Mnyika amlipua Muhongo
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemlipua Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, kwamba ni muongo kwani ameshalidanganya Bunge zaidi ya mara tatu. Mbunge huyo ambaye pia ni...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Mnyika ambana mkandarasi
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemtaka mkandarasi aliyeingia mkataba wa mradi mkubwa wa maji kutoka Mlandizi hadi kwenye matenki ya Kimara na Mtaa wa Kwembe, aharakishe na kuukamilisha kwa...
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Mnyika amkaba Dk. Magufuli
SIKU moja baada ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli kuiamuru Kampuni ya Strabag kufungua barabara ya Morogoro na za mchepuko ambazo zimekamilika, Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemtaka...
10 years ago
Habarileo28 Oct
Mnyika atishia kushtaki
MBUNGE wa Ubungo John Mnyika amemtaka Waziri Mkuu ambaye ni Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utaokafanyika Desemba mwaka huu, kufanya marekebisho ya kanuni za uchaguzi kwa kuwa zina upungufu mwingi, la sivyo atafungua kesi mahakamani kupinga kanuni hizo.
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
Masaburi atishia ubunge wa Mnyika
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Didas Masaburi, ametamba kuwa ana uwezo wa kupambana na kumng’oa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
Akizungumza katika mkutano na wanafunzo wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam jana, Dk. Masaburi ambaye ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam aanayemaliza muda wake alisema amefanya utafiti wa kutosha na kugundua kuwa anakubalika na anaweza kulibadili jimbo hilo.
Jimbo la Ubungo kwa miaka mitano iliyopita...
11 years ago
Habarileo19 May
Simon Group washangazwa na Mnyika
MWENYEKITI Mtendaji wa Kampuni ya Simon Group inayoendesha Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena ameeleza kushangazwa na upotoshaji uliofanywa na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika juu ya uhalali wa umiliki wa hisa za shirika hilo.