Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnyika ambana mkandarasi

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemtaka mkandarasi aliyeingia mkataba wa mradi mkubwa wa maji kutoka Mlandizi hadi kwenye matenki ya Kimara na Mtaa wa Kwembe, aharakishe na kuukamilisha kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Naibu Waziri ambana mkandarasi

NAIBU Waziri wa Uchukuzi na Mbunge wa Jimbo la Buchosa Dk Chales Tizeba amemtaka Mkandarasi Pet Construction Limited kukamilisha haraka ujenzi wa mradi wa maji katika Jimbo la Buchosa.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri ambana mkandarasi, aagiza asilipwe

Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggery Mwanri amezuia kufanyika kwa malipo yoyote kwa mkandarasi mmoja wilayani Maswa mkoani Simiyu baada ya kugundua kuwepo kwa kasoro katika mradi wa ujenzi wa mkandaasi huyo.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri ambana Mganga Mkuu Rufiji

MBUNGE wa Rufiji, Dk Seif Rashid, amemwagiza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya, kupeleka dawa katika zahanati zote zilizopo katika jimbo hilo, ili zisaidie wananchi wanaokabiliana na mafuriko yanaoendelea jimboni humo.

 

9 years ago

Mwananchi

Chenge ambana Magufuli ahadi ya JK Simiyu

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli jana aliendelea kubeba mzigo wa Serikali wakati mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge alipomtaka aeleze utekelezaji wa ahadi ya maji iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete miaka mitano iliyopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Masele ambana Kaimu Meneja Tanesco Geita

Kaimu Meneja wa Shirika la Umeme (Tanesco) Mkoa wa Geita, wa Geita, Charles Budodi juzi alijikuta kwenye wakati mgumu, baada ya kushindwa kujibu maswali yaliyoelekezwa kwake na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele kuhusu shirika hilo kukaidi agizo la Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha shirika hilo linapeleka umeme kwenye shughuli za wachimbaji wadogo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwambungu ampongeza mkandarasi

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu, amepongeza mradi wa ujenzi wa majengo ya Shule ya Sekondari Unberkant iliyopo kwenye Kata ya Mtipwili wilayani Nyasa mkoani hapa unaofanywa na Kampuni...

 

9 years ago

Habarileo

Mkandarasi umeme abanwa

SERIKALI imemwagiza mkandarasi anayeshughulikia Mradi wa Umeme Vijijini (REA) mkoani Singida, Spencon ya nchini Kenya kukamilisha ujenzi huo ifikapo Mei 31 mwaka huu vinginevyo atachukuliwa hatua za kisheria.

 

9 years ago

Habarileo

RC amjia juu mkandarasi ‘mzembe’

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe, amemjia juu mkandarasi wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya Ruaha - Sali, wilayani Ulanga kwa kushindwa kukamilisha ujenzi licha ya kuongezewa muda.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aagiza mkandarasi alipwe

RAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Wizara ya Maji na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, kutafuta fedha za kumlipa mkandarasi kujenga bwawa la Kidete anayedai Sh bilioni mbili, ili arejee kazini kukamilisha kazi iliyopangwa. Rais Kikwete ametoa agizo hilo baada ya Mbunge wa Kilosa, Mustafa Mkulo, kumueleza Rais kwamba ujenzi wa bwawa hilo umesimama kwa muda mrefu, kwa sababu mkandarasi anaidai serikali Sh bilioni mbili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani