Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masele ambana Kaimu Meneja Tanesco Geita

Kaimu Meneja wa Shirika la Umeme (Tanesco) Mkoa wa Geita, wa Geita, Charles Budodi juzi alijikuta kwenye wakati mgumu, baada ya kushindwa kujibu maswali yaliyoelekezwa kwake na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele kuhusu shirika hilo kukaidi agizo la Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha shirika hilo linapeleka umeme kwenye shughuli za wachimbaji wadogo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAIMU MKURUGENZI TANESCO KIZIMBANI KWA MATUMIZI MABAYA YA OFISI

Na Miriam Mosses  Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Robert Semtutu na wenzake wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, akikabiliwa na mashitaka mawili ikiwemo kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh.milioni 200.   Washtakiwa wengine ni, aliyekuwa Afisa Ugavi wa Tanesco, Hanin Mahambo, Mkurugenzi wa fedha Lusekeo Kasanga,Mwanasheria Godson Ezekiel pamoja na Mkandarasi Martin Abraham.   Mwendesha Mashtaka wa...

 

5 years ago

Michuzi

MENEJA TANESCO USIPOTIMIZA MALENGO JITOE NA TUTAKUCHUKULIA HATUA -DKT KALEMANI


Waziri wa Nishati,Dkt. Medard Kalemani( katikati) akizungumza na mwanakijiji wa Izunya,( kushoto) ambacho kikokaribu na miundombinu ya umeme ambapo aliigiza TANESCO, kupeleka umeme katika vijiji vya aina hii ambavyo vimepitia au vipo karibu na miundombinu ya umeme ambavyo havijafikiwa na REA, alipofanya fanya ziara ya kukagua maendeleo ya usambazaji wa umeme vijijini katika Wilaya za Nyang’hwale, Geita na Chato mkoani Geita.
Waziri wa Nishati,Dkt. Medard Kalemani ( kushoto) akizungumza...

 

5 years ago

Michuzi

TANESCO Kuvuna Mabilioni Geita


Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka akiwa katika ziara ya ufuatiliaji na ukaguzi wa Mradi wa kusafirisha umeme kutoka Bulyanhulu hadi Geita kilovolti 220 amesema TANESCO inatarajia kukusanya takriban Shilingi bilioni 6 za ziada katika mauzo ya umeme Mkoani Geita.

Dkt. Mwinuka alisema kiasi hicho cha fedha ni kutoka katika Mgodi wa Geita Gold Mining (GGM) baada ya Mgodi huo kuunganishwa na kuongeza  GGM bado unatumia umeme ghali wa mafuta mazito ukilinganisha na umeme wa TANESCO...

 

5 years ago

Michuzi

TANESCO KUCHOCHEA UWEKEZAJI MIKOA YA GEITA, KAGERA NA KIGOMA

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania( TANESCO), Dkt. Alexander Kyaruzi amesema ndani ya kipindi kifupi kijacho cha kuanzia sasa mpaka Desemba 2020 mikoa ya Geita, Kagera na Kigoma itakuwa na imeme wa kutosha.

Hiyo ni baada ya kukamilika kwa Ujenzi wa Miradi mikubwa ya kusafirisha umeme wa gridi ya Taifa kuanzia Bulyanhulu mpaka Geita, Geita mpaka Nyakanazi na ule wa Nyakanazi mpaka Rusumo ikitekelezwa sambamba na miradi ya kufua umeme wa maji ya Rusumo na Malagarasi...

 

5 years ago

Michuzi

Dkt. Mwinuka amtaka Mkandarasi kuongeza kasi ujenzi Ofisi za TANESCO Geita

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Dkt. Tito Mwinuka akiambatana na Menejimenti ya TANESCO ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya ofisi za TANESCO Mkoa wa Geita pamoja na Wilaya ya Chato, ujenzi unaotekelezwa na  Wakala wa Majengo (TBA).

Dkt. Mwinuka amesema ujenzi wa majengo hayo ni sehemu ya jitihada za Shirika kuhakikisha linaendesha shughuli zake katika majengo yake na hivyo kuepukana na gharama kubwa za upangishaji majengo kwa matumizi za ofisi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika ambana mkandarasi

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemtaka mkandarasi aliyeingia mkataba wa mradi mkubwa wa maji kutoka Mlandizi hadi kwenye matenki ya Kimara na Mtaa wa Kwembe, aharakishe na kuukamilisha kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Naibu Waziri ambana mkandarasi

NAIBU Waziri wa Uchukuzi na Mbunge wa Jimbo la Buchosa Dk Chales Tizeba amemtaka Mkandarasi Pet Construction Limited kukamilisha haraka ujenzi wa mradi wa maji katika Jimbo la Buchosa.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri ambana mkandarasi, aagiza asilipwe

Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggery Mwanri amezuia kufanyika kwa malipo yoyote kwa mkandarasi mmoja wilayani Maswa mkoani Simiyu baada ya kugundua kuwepo kwa kasoro katika mradi wa ujenzi wa mkandaasi huyo.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri ambana Mganga Mkuu Rufiji

MBUNGE wa Rufiji, Dk Seif Rashid, amemwagiza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya, kupeleka dawa katika zahanati zote zilizopo katika jimbo hilo, ili zisaidie wananchi wanaokabiliana na mafuriko yanaoendelea jimboni humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani