Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkandarasi umeme abanwa

SERIKALI imemwagiza mkandarasi anayeshughulikia Mradi wa Umeme Vijijini (REA) mkoani Singida, Spencon ya nchini Kenya kukamilisha ujenzi huo ifikapo Mei 31 mwaka huu vinginevyo atachukuliwa hatua za kisheria.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Mkandarasi wa usafirishaji umeme atakiwa kumaliza kazi ifikapo Aprili 2016.

acb4cb83-7e8a-4b48-b4ab-950ff1496751Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dodoma kabla ya kuanza ziara ya kukagua miundombinu ya usafirishaji umeme, miradi ya umeme vijijini pamoja na shughuli za uchimbaji wa madini mkoani humo. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa.

a22aeb8e-8bd3-4052-84ff-ae1501ec05f6
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (wa kwanza kulia) akizungumza na Meneja Mradi Ujenzi wa vituo vya kupoozea umeme katika mradi wa Miundombinu ya...

 

9 years ago

Michuzi

Mkandarasi wa miundombinu ya usafirishaji umeme atakiwa kumaliza kazi ifikapo Aprili 2016.

Na Teresia Mhagama, Dodoma Kampuni ya Joti structures inayojenga miundombinu ya usafirishaji umeme wa msongo wa kilovolti 400 kutoka Dodoma hadi Singida imetakiwa kukamilisha ujenzi wa miundombinu hiyo ifikapo mwezi Aprili mwaka huu kama mkataba unavyoelekeza. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani wakati alipofanya ziara ya kikazi mkoani Dodoma ili kukagua miundombinu ya usafirishaji umeme, miradi ya umeme vijijini pamoja na shughuli za uchimbaji...

 

9 years ago

StarTV

Naibu Waziri wa Nishati na Madini amuonya Mkandarasi anayejenga miundombinu ya Umeme Dar, Kilimanjaro, Arusha

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dokta Medard Kalemani amemtaka mkandarasi anayejenga miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme katika mikoa ya Dar es Salaam, Kilimanjaro na Arusha kukamilisha miradi hiyo ifikapo Februari 20, 2016.

Naibu Waziri ametoa maagizo hayo baada ya kutembelea miradi hiyo iliyopo katika maeneo ya Mbagala, Kurasini na Gongo la Mboto jijini Dar es salaam na kugundua kuwa imeshindwa kukamilika kwa wakati uliokusudiwa.

 Hali ya kutokamilika kwa miradi hiyo Imemsukuma...

 

11 years ago

Mwananchi

DC Gambo abanwa

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo jana alifikishwa mbele ya Baraza la Maadili akituhumiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka ikiwamo matusi ya nguoni kwa watumishi wa Halmashauri ya Korogwe.

 

10 years ago

Habarileo

Gwajima abanwa

Josephat GwajimaMAHOJIANO baina ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na Jeshi la Polisi yaliyokwama wiki iliyopita kutokana na kuzorota kwa afya ya askofu huyo, yaliendelea jana saa sita huku akitakiwa kuwasilisha nyaraka muhimu kumi siku ya mahojiano mengine yatakayofanyika wiki ijayo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK abanwa Bunge la Katiba

WAKATI Rais Jakaya Kikwete, akikutana na vyama vya siasa kutafuta maridhiano ya mchakato wa Katiba, Jukwaa la Wakristo Tanzania, limetoa tamko zito lenye masuala sita, likimwomba Rais aliahirishe Bunge Maalum...

 

10 years ago

GPL

TAJIRI J4 MWANZA ABANWA

Na Waandishi Wetu, Mwanza IKIWA ni takriban zaidi ya wiki moja imepita baada ya Mkurugenzi wa Mabasi ya J4 Express, Juma Mahende ‘J4” kudaiwa kuua kwa kuwapiga risasi wafanyabiashara wenzake wawili, kigogo huyo amebanwa na polisi kuhusiana na mauaji hayo. . ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1LzCfXx

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Dewji abanwa mbavu



NA MARIAM MZIWANDA BARAZA la Maadili ya Viongozi wa Umma, limemuhoji Meya wa Tabora, Gullam Dewji, kutokana na tuhuma za kutumia madaraka yake vibaya kwa maslahi binafsi, ikiwemo matumizi ya fedha za manispaa sh. milioni 2.6, alizotumia katika safari nchini Marekani. Awali, akisomewa hati ya mashtaka na Mwanasheria wa Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, Getrude Cyriacus, Dewji anatuhumiwa katika mashitaka matatu, likiwemo kutumia madaraka yake vibaya kwa kujinufaisha binafsi. Dewji...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ABANWA KUMSALITI MEMBE

Musa mateja
Nimwendo wa kutangaza nia kwa baadhi ya wanasiasa ambao wanaomba ridhaa ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu ambapo upepo huo umemgusa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ baada ya kwenda kufanya shoo wakati Waziri Mkuu Mjiuzulu, Edward Lowassa akitangaza nia mwishoni mwa wiki iliyopita. Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi, Benardi Memba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani