Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gwajima abanwa

Josephat GwajimaMAHOJIANO baina ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na Jeshi la Polisi yaliyokwama wiki iliyopita kutokana na kuzorota kwa afya ya askofu huyo, yaliendelea jana saa sita huku akitakiwa kuwasilisha nyaraka muhimu kumi siku ya mahojiano mengine yatakayofanyika wiki ijayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Gwajima abanwa na ‘watoto wake’

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amepewa siku 14, na wanaodai kuwa watoto wa marehemu kaka yake, Faustine Gwajima, kumfufua baba yao huyo, vinginevo watamfikisha mahakamani kwa kile walichodai kusababishiwa athari kisaikolojia kwa muda mrefu.

 

10 years ago

Vijimambo

Mawakili wa Gwajima Wajibu Mapigo Waiandikia Barua Polisi Kuhusu Uhalali wa Kumtaka Gwajima Awasilishe Nyaraka 10 za Mali Zake


Mawakili wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, wameandika barua kuliomba Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kuandika kimaandishi nyaraka wanazozihitaji azipeleke pamoja na vifungu vya sheria vinavyomtaka awasilishe nyaraka hizo.Barua hiyo iliyosainiwa na Wakili Peter Kibatala iliwasilishwa jana mchana katika jeshi hilo, ikiwa ni siku moja baada ya jeshi hilo kumtaka Askofu Gwajima kuwasilisha nyaraka 10, Aprili 16 mwaka huu watakapoendelea na mahojiano.
Gwajima...

 

10 years ago

Mwananchi

DC Gambo abanwa

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo jana alifikishwa mbele ya Baraza la Maadili akituhumiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka ikiwamo matusi ya nguoni kwa watumishi wa Halmashauri ya Korogwe.

 

10 years ago

GPL

TAJIRI J4 MWANZA ABANWA

Na Waandishi Wetu, Mwanza IKIWA ni takriban zaidi ya wiki moja imepita baada ya Mkurugenzi wa Mabasi ya J4 Express, Juma Mahende ‘J4” kudaiwa kuua kwa kuwapiga risasi wafanyabiashara wenzake wawili, kigogo huyo amebanwa na polisi kuhusiana na mauaji hayo. . ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1LzCfXx

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Dewji abanwa mbavu



NA MARIAM MZIWANDA BARAZA la Maadili ya Viongozi wa Umma, limemuhoji Meya wa Tabora, Gullam Dewji, kutokana na tuhuma za kutumia madaraka yake vibaya kwa maslahi binafsi, ikiwemo matumizi ya fedha za manispaa sh. milioni 2.6, alizotumia katika safari nchini Marekani. Awali, akisomewa hati ya mashtaka na Mwanasheria wa Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, Getrude Cyriacus, Dewji anatuhumiwa katika mashitaka matatu, likiwemo kutumia madaraka yake vibaya kwa kujinufaisha binafsi. Dewji...

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK abanwa Bunge la Katiba

WAKATI Rais Jakaya Kikwete, akikutana na vyama vya siasa kutafuta maridhiano ya mchakato wa Katiba, Jukwaa la Wakristo Tanzania, limetoa tamko zito lenye masuala sita, likimwomba Rais aliahirishe Bunge Maalum...

 

9 years ago

Habarileo

Mkandarasi umeme abanwa

SERIKALI imemwagiza mkandarasi anayeshughulikia Mradi wa Umeme Vijijini (REA) mkoani Singida, Spencon ya nchini Kenya kukamilisha ujenzi huo ifikapo Mei 31 mwaka huu vinginevyo atachukuliwa hatua za kisheria.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ABANWA KUMSALITI MEMBE

Musa mateja
Nimwendo wa kutangaza nia kwa baadhi ya wanasiasa ambao wanaomba ridhaa ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu ambapo upepo huo umemgusa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ baada ya kwenda kufanya shoo wakati Waziri Mkuu Mjiuzulu, Edward Lowassa akitangaza nia mwishoni mwa wiki iliyopita. Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi, Benardi Memba...

 

10 years ago

Habarileo

Mke wa Rais Mugabe abanwa

MSHINDI wa tuzo ya uandishi nchini Zimbabwe Chenjerai Hove, amemtaka mke wa Rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe, Grace Mugabe, kurejesha Shahada yake ya Uzamivu (PhD).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani