TAJIRI J4 MWANZA ABANWA
![](http://api.ning.com:80/files/nMkb-Djjb3d31H8i-xQqPjNe0DOE-qdPza2ujNCOBkjKvfJXujBzdj0OOT6T8CXwXK3Xf6IyfCIlYkHCJB922fMyaSVTOYZ2/BACKUWAZI.gif?width=650)
Na Waandishi Wetu, Mwanza IKIWA ni takriban zaidi ya wiki moja imepita baada ya Mkurugenzi wa Mabasi ya J4 Express, Juma Mahende ‘J4†kudaiwa kuua kwa kuwapiga risasi wafanyabiashara wenzake wawili, kigogo huyo amebanwa na polisi kuhusiana na mauaji hayo. . ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1LzCfXx
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Mwakilishi wa Waziri Chiza abanwa Mwanza
MKURUGENZI msaidizi wa Idara ya Pembejeo za Kilimo kutoka Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Canuth Komba, ameonja joto ya jiwe baada ya kuwekwa kitimoto na wadau wa kilimo cha...
9 years ago
Raia Mwema02 Dec
Tajiri aidharau serikali Mwanza
KATIKA kitendo kinachoonyesha kuidharau serikali, mkazi wa Mtaa wa Nyasaka, Wilaya ya Ilemela mko
Mwandishi Wetu
9 years ago
Raia Mwema10 Dec
Tajiri apigwa ‘stop’ kuendelea na ujenzi Mwanza
HATIMAYE imebainika kuwa mmiliki wa majengo matatu ya gorofa yanayojengwa Nyasaka katika Halmasha
Mwandishi Wetu
10 years ago
GPLTAJIRI AWAPIGA RISASI WAWILI NA KUWAUA JIJINI MWANZA
9 years ago
Michuzi03 Sep
HAJA YA HOJA: NI LINI TAJIRI AKAPENDA MASKINI AKAWA TAJIRI KAMA YEYE
10 years ago
Mwananchi14 Oct
DC Gambo abanwa
10 years ago
Habarileo10 Apr
Gwajima abanwa
MAHOJIANO baina ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na Jeshi la Polisi yaliyokwama wiki iliyopita kutokana na kuzorota kwa afya ya askofu huyo, yaliendelea jana saa sita huku akitakiwa kuwasilisha nyaraka muhimu kumi siku ya mahojiano mengine yatakayofanyika wiki ijayo.
10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
JK abanwa Bunge la Katiba
WAKATI Rais Jakaya Kikwete, akikutana na vyama vya siasa kutafuta maridhiano ya mchakato wa Katiba, Jukwaa la Wakristo Tanzania, limetoa tamko zito lenye masuala sita, likimwomba Rais aliahirishe Bunge Maalum...
9 years ago
Habarileo05 Jan
Mkandarasi umeme abanwa
SERIKALI imemwagiza mkandarasi anayeshughulikia Mradi wa Umeme Vijijini (REA) mkoani Singida, Spencon ya nchini Kenya kukamilisha ujenzi huo ifikapo Mei 31 mwaka huu vinginevyo atachukuliwa hatua za kisheria.