Masaburi atishia ubunge wa Mnyika
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Didas Masaburi, ametamba kuwa ana uwezo wa kupambana na kumng’oa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
Akizungumza katika mkutano na wanafunzo wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam jana, Dk. Masaburi ambaye ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam aanayemaliza muda wake alisema amefanya utafiti wa kutosha na kugundua kuwa anakubalika na anaweza kulibadili jimbo hilo.
Jimbo la Ubungo kwa miaka mitano iliyopita...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo28 Oct
Mnyika atishia kushtaki
MBUNGE wa Ubungo John Mnyika amemtaka Waziri Mkuu ambaye ni Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utaokafanyika Desemba mwaka huu, kufanya marekebisho ya kanuni za uchaguzi kwa kuwa zina upungufu mwingi, la sivyo atafungua kesi mahakamani kupinga kanuni hizo.
11 years ago
Mwananchi06 Mar
Mnyika atishia kuwataja vigogo
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Dk. Didas Masaburi afuta kesi ya kupinga Ubunge wa Saed Kubenea
![](http://3.bp.blogspot.com/-XNjP98s8Vz0/VnI00_qGu_I/AAAAAAAArrY/XUQ3cwQ1RdE/s1600/2.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Mnyika atoa ushahidi kesi ubunge Afrika Mashariki
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amesema kuna hatari Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutumia wingi wake kuendelea kuikomoa kambi rasmi ya upinzani bungeni kwa kuchagua wabunge wa Bunge la Afrika...
10 years ago
Habarileo14 Dec
Dk Masaburi afunguka kuhusu urais
MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi amesema kuwa atampigia debe mgombea urais atakayeonesha nia ya kuendeleza Serikali za Mitaa.
10 years ago
Habarileo25 Feb
Masaburi azungumzia Dar ijayo
MEYA wa Jiji la Dar e s Salaam, Dk Didas Masaburi amesema katika miaka 50 ijayo Jiji litakuwa na muonekano tofauti likiwa la kisasa, safi na lenye kuwafurahisha wakazi wote katika nyanja mbalimbali.
9 years ago
VijimamboMASABURI ASEMA CHAGUA DOUBLE M
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Masaburi afuta kesi dhidi ya Kubenea
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefuta kesi ya madai ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Ubungo.
Kesi hiyo ilifunguliwa na aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Didas Masaburi dhidi ya mbunge wa jimbo hilo, Saed Kubenea (Chadema).
Uamuzi wa maombi ya kufuta kesi hiyo uliwasilishwa mahakamani hapo jana na wakili wa Dk. Masaburi, Clement Kihoko mbele ya Jaji Lugano Mwandambo.
Wakili Kihoko alisema kuwa...
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Masaburi akubali yaishe kwa Kubenea