Masaburi azungumzia Dar ijayo
MEYA wa Jiji la Dar e s Salaam, Dk Didas Masaburi amesema katika miaka 50 ijayo Jiji litakuwa na muonekano tofauti likiwa la kisasa, safi na lenye kuwafurahisha wakazi wote katika nyanja mbalimbali.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Jul
Masaburi: Tunaomba serikali isuke upya Dar
HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imeiomba serikali kuu kulisuka upya jiji hilo kimuundo ili liwe na nguvu kisheria ya kutekeleza majukumu yake, kwa kuwa hivi sasa linashindwa kutokana na kuingilia mamlaka nyingine, hivyo linaonekana halifanyi kazi.
10 years ago
Habarileo18 Nov
Dar kuwa na umeme wa uhakika miaka miwili ijayo
WIZARA ya Nishati na Madini, imewahakikishia wakazi wa Dar es Salaam kuwa na umeme wa uhakika ndani ya miaka miwili, huku ikianza kuachana na mpango wa kuwa na nguzo za miti badala yake kutumia za zege.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7omTwN2kp7c/U3zCHLcW5eI/AAAAAAAFkLE/GRQ5gjGFVIc/s72-c/unnamed+(10).jpg)
Dar es Salaam mwenyeji wa mkutano mkubwa wa wanasayansi wiki ijayo
![](http://3.bp.blogspot.com/-7omTwN2kp7c/U3zCHLcW5eI/AAAAAAAFkLE/GRQ5gjGFVIc/s1600/unnamed+(10).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-SlUH5_XPq-Q/U3zCHL8b3MI/AAAAAAAFkLA/qQCpyEeqr4A/s1600/unnamed+(11).jpg)
10 years ago
Dewji Blog20 Oct
Siku ya msanii kufanyika Jumamosi ijayo Mlimani City Jijini Dar
Ofisa Uhusiano wa Siku ya Msanii Tanzania (SYM), Bw. Peter Mwendapole akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Siku ya Msanii Tanzania itakayofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City siku ya tarehe 25 Oktoba, 2014 jijini Dar es Salaam.
Na Beatrice Lyimo- Maelezo.
KAMATI ya Siku ya Msanii Tanzania (SYM) imetangaza rasmi majina ya wasanii watakaotumbuiza katika maadhimisho ya siku hiyo itakayofanyika Oktoba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City uliopo jijini Dar Es Salaam.
Akizingumza na...
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Dar Es Salaam kuwa kivutio kikubwa cha wawekezaji na utalii miaka michache ijayo
Pichani ni Jengo litakalojengwa jijini Dar es salaam na litagharimu Dola za kimarekani milioni 77,kutakuwa na hoteli ya hadhi ya Nyota Tano, Ofisi za Biashara, kutakuwa na Sehemu ya kuegesha magari, jengo hili litatakuwa kivutio kwa Wawekezaji na Utalii.(23 Juni 2014).
Baadhi Malori na Vifaa vingine vya kutendea kazi vikiwa tayari kuahiria ujenzi huu unaanza mara moja baada ya zoezi la uwekaji wa jiwe la msingi kukamilika.
Mama Maria Nyerere akiwasili kwenye sherehe ya uwekaji jiwe la...
9 years ago
VijimamboMASABURI ASEMA CHAGUA DOUBLE M
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
Masaburi atishia ubunge wa Mnyika
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Didas Masaburi, ametamba kuwa ana uwezo wa kupambana na kumng’oa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
Akizungumza katika mkutano na wanafunzo wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam jana, Dk. Masaburi ambaye ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam aanayemaliza muda wake alisema amefanya utafiti wa kutosha na kugundua kuwa anakubalika na anaweza kulibadili jimbo hilo.
Jimbo la Ubungo kwa miaka mitano iliyopita...
10 years ago
Habarileo14 Dec
Dk Masaburi afunguka kuhusu urais
MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi amesema kuwa atampigia debe mgombea urais atakayeonesha nia ya kuendeleza Serikali za Mitaa.