Masaburi: Tunaomba serikali isuke upya Dar
HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imeiomba serikali kuu kulisuka upya jiji hilo kimuundo ili liwe na nguvu kisheria ya kutekeleza majukumu yake, kwa kuwa hivi sasa linashindwa kutokana na kuingilia mamlaka nyingine, hivyo linaonekana halifanyi kazi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 Feb
Masaburi apinga serikali kuwa tajiri, wananchi masikini
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) Dk Didas Masaburi amesema jumuiya hiyo itapigana kufa au kupona kuona Tanzania inabadili mfumo wa sasa wa uendeshaji wa serikali unaolenga kuifanya serikali kuwa tajiri kuliko wananchi, hatua ambayo imekuwa inawafanya wananchi kukimbilia siasa na kufanya kazi serikalini kama njia ya kuwa na maisha bora.
10 years ago
Habarileo25 Feb
Masaburi azungumzia Dar ijayo
MEYA wa Jiji la Dar e s Salaam, Dk Didas Masaburi amesema katika miaka 50 ijayo Jiji litakuwa na muonekano tofauti likiwa la kisasa, safi na lenye kuwafurahisha wakazi wote katika nyanja mbalimbali.
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Serikali iangalie upya ‘Uwindaji wa Kitalii’
9 years ago
StarTV07 Jan
 Serikali kuangalia upya bei ya Sukari nchini
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage amesema Serikali imejipanga kuhakikisha kunakuwepo na uwiano sawa kati ya bei ya sukari inayotokana na viwanda vya ndani na inayoagizwa nje ya nchi.
Waziri Mwijage amesema hilo linaweza kufanikiwa kwa kupunguza baadhi ya gharama za uzalishaji zisizo na tija kwa viwanda vya ndani.
Kiwanda cha sukari cha Kagera kilichopo katika wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera, moja ya kiwanda kinachotegemewa mno katika uzalishaji wa sukari hapa...
9 years ago
StarTV17 Nov
 Serikali yashauriwa kuangalia upya kodi kwa shule binafsi
Wadau wa sekta ya elimu nchini,wameishauri serikali kuangalia upya sera yake katika masuala ya kodi kwa shule binafsi ambazo zinakwaza mendeleo ya sekta hiyo huku mzigo mkubwa ukibaki kuzielemea shule hizo pamoja na wazazi.
Wakizungumzia maendeleo ya elimu kwa shule binafsi wadau hao wamesema kazi inayofanyika ni kwa niaba ya serikali kwa kuwasomesha watoto wa watanzania na kuondoa dhana ya kwamba ni eneo la kujitengenezea faida.
Wadau hao akiwemo Mkurugenzi wa taasisi ya kielimu ya THE...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-WNhsl733Xs8/VIRmmI4fkdI/AAAAAAADQvE/OE46qMTHTUU/s72-c/Sijui%2Btena%2Bkama%2Bpatakuwa%2Bna%2Bkuchekeana%2Bkama%2Bhivi.jpg)
WATANZANIA TUNAOMBA HARAKA MKONDO WA SHERIA UFANYE KAZI ZAKE
![](http://3.bp.blogspot.com/-WNhsl733Xs8/VIRmmI4fkdI/AAAAAAADQvE/OE46qMTHTUU/s1600/Sijui%2Btena%2Bkama%2Bpatakuwa%2Bna%2Bkuchekeana%2Bkama%2Bhivi.jpg)
Ni mategemeo yetu watanzania wengi kuwa vigogo waliohusika kwa namna moja au nyingine katika sakata la fedha za Tageta Escrow kuwa wanajiuzulu nafasi zao
na mkondo wa sheria uwashughulikie haraka kwani hakuna aliye juu ya sheria watanzania wote tupo chini ya sheria.
Vigogo hawa wazito wanahusika kupokea mgao wa fedha za wavuja jasho wa nchi hii lazima washughulikiwe na...
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/nikkiwapili2.jpg)
Hip Hop kuzaliwa upya Dar Live
10 years ago
Habarileo28 May
Barabara Dar kusukwa upya kwa trilioni 4/-
WIZARA ya Ujenzi imepanga kutekeleza miradi ya kupunguza msongamano katika Jiji la Dar es Salaam, itakayogharimu zaidi ya Sh trilioni 4.394 itakapokamilika.