Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barabara Dar kusukwa upya kwa trilioni 4/-

Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli.WIZARA ya Ujenzi imepanga kutekeleza miradi ya kupunguza msongamano katika Jiji la Dar es Salaam, itakayogharimu zaidi ya Sh trilioni 4.394 itakapokamilika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Tazara kusukwa upya

Rais Jakaya KikweteSERIKALI ya Tanzania na Zambia zimekubali kulisuka upya Shirika la Reli la nchi hizo (Tazara), kwa kufanya marekebisho ya kimfumo na kiutendaji ili kutatua matatizo ya kimuundo na kimenejimenti yanayochangia kuzorota kwa ufanisi wa shirikia hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Ujenzi wa barabara kugharimu trilioni 1/-

WAZIRI wa Ujenzi Dk John MagufuliJUMLA ya Sh trilioni moja zinatarajiwa kutumika katika miradi minne tofauti ya kujenga barabara zenye jumla ya urefu wa kilomita 548 kwa kiwango cha lami katika mikoa ya Rukwa, Katavi na Mbeya.

 

10 years ago

Michuzi

wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena waadhimisha siku ya mazingira kwa kufanya usafi maeneo ya barabara jijini dar

wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena ambao ni wakereketwa wakubwa wa mazingira, waliadhimisha siku hii asubuhi ya leo kwa kufanya usafi barabara ya Ohio kuzunguka mpaka ufukwe wa bahari ya Hindi.
Akiongea  mara baada ya zoezi hilo la usafi mkurugenzi mkuu wa masoko wa hoteli hiyo ndugu Seraphin Lusala aliwashukuru wafanyakazi wa hoteli hiyo kwa kushiriki katika zoezi hilo la kufanya usafi wa mazingira ili kuonyesha mfano kwa jamii kwamba uchafuzi wa mazingira haukubaliki na...

 

10 years ago

Vijimambo

Bajeti ya mwaka 2015/16 ni ya kula. Ni Shilingi trilioni 22.5, Za maendeleo trilioni 5 tu.

Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya
Serikali imetangaza sura ya bajeti ya mwaka 2015/16, ikiwa imejielekeza zaidi katika matumizi ya kawaida ya safari, posho za viongozi na matumizi mengine kuliko miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya Watanzani moja kwa moja.

Bajeti ya mwaka ujao inatarajiwa kuwa Sh. Trilioni 22.480, kwa matumizi ya kawaida na maendeleo.

Makadirio hayo ni ongezeko la asilimia 13.2 ya bajeti ya mwaka 2014/15 ambayo ilikuwa ni Sh. Trilioni 19.853.

Waziri wa Fedha, Saada Salum...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

11 years ago

GPL

UJENZI BARABARA YA KAWAWA KWA MAGARI YAENDAYO KASI DAR

Tingatinga likiweka mabomba ya maji pembezoni mwa barabara ya Kawawa ambayo inapitiwa na ujenzi wa barabara maalum ya magari yaendayo kasi jijini Dar es Salaam katika Barabara ya Morogoro.    Mafundi wakiwa kazini kuhakikisha kazi inakwenda vyema.
(Picha/ Chande…

 

10 years ago

Habarileo

Trilioni 1/- kuweka sawa majisafi na taka Dar

WIZARA ya Maji imesema mpango maalumu wa uboreshaji huduma za Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam unatarajiwa kugharimu Sh trilioni 1, Bunge limeelezwa.

 

10 years ago

GPL

MAJI TAKA, BARABARA MBOVU NI KERO KWA WAKAZI WA MWENGE DAR

Mkazi wa Mwenge akipita kwa kwa taabu katika moja ya barabara za Mwenge ambazo zimejaa maji taka na ambazo ni mbovu. MAJI taka yaliyovamia sehembu mbalimbali na barabara mbovu vimekuwa ni kero kubwa kwa wakazi wa Mwenge jijini Dar es Salaam hasa katika maeneo ya wafanyabiashara ndogondogo.  Matokeo ya adha hiyo ni kupitika kwa taabu sehemu hiyo na harufu mbaya inayotokana na maji hayo hususan kwa watembea kwa miguu....

 

11 years ago

Michuzi

Mkurugenzi wa zamani wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11 wasomea upya mashtaka 27 ya mauji katika ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16,jijini dar

MKURUGENZI wa Mashitaka Nchini (DPP), amemfutia mashitaka aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime (61) na kisha kumuunganisha na wenzake 11 na kuwasomea upya mashtaka 27 ya mauji katika mtaa wa Indira Gandh, yaliyotokana na kuporomoka jengo la ghorofa 16.
Mbali na Fuime washtakiwa wengine ni, Diwani wa Kata ya Goba, Ibrahim Mohamed maarufu kama Kisoki, Raza Ladha, Goodluck Mbanga, Willbroad Mugyabuso,Mohamed Abdulkarim, Charles Ogare, Zonazea Oushoudada, Vedasto Ruhale,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani