Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJI TAKA, BARABARA MBOVU NI KERO KWA WAKAZI WA MWENGE DAR

Mkazi wa Mwenge akipita kwa kwa taabu katika moja ya barabara za Mwenge ambazo zimejaa maji taka na ambazo ni mbovu. MAJI taka yaliyovamia sehembu mbalimbali na barabara mbovu vimekuwa ni kero kubwa kwa wakazi wa Mwenge jijini Dar es Salaam hasa katika maeneo ya wafanyabiashara ndogondogo.  Matokeo ya adha hiyo ni kupitika kwa taabu sehemu hiyo na harufu mbaya inayotokana na maji hayo hususan kwa watembea kwa miguu....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MVUA YASABABISHA KURUNDIKANA KWA TAKA MWENGE,DAR

Takataka zikiwa zimejaa eneo la mtaro maeneo ya Mwenge. Baadhi ya takataka zilizozagaa katika maeneo kadhaa kwa kusombwa na maji ya mvua.…

 

11 years ago

GPL

CHEMBA ILIYOBOMOKA ENEO LA MWENGE YAWA KERO KWA WATUMIAJI WA BARABARA INAYOELEKEA AFRIKA SANA‏

Chemba iliyobomoka ikiwa wazi maeneo ya Mwenge. Mawe yakiwa yamewekwa kuzuia magari yasipite baada ya chemba hiyo kubomoka. CHEMBA iliyobomoka maeneo ya Mwenge Jijini Dar imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara ya kutoka Mwenge kuelekea Afrika Sana. Chemba hiyo ilibomoka baada ya gari…

 

10 years ago

Michuzi

KERO LA DIMBWI LISILOKAUKA MAJI NA BARARABA MBOVU HAPA MBOZI ROAD - CHANG'OMBE

Asalaam Aleykum Ankali, Pole na majukumu.  Ningeomba uupatie uzi huu nafasi ili nasi tupate sehemu ya kupazia sauti kuhusu hii kero tunayopata watumiaji wa Mbozi Road, Chang'ombe, hapa Dar es salaam. Hili tatizo sasa limekuwa ni la muda mrefu panyeshe mvua ama isinyesha huwa pamejaa maji hivyo hivyo. tunaomba mamlaka husika (Manispaa ya Temeke) watusaidie au kwa lugha nyingine watimize wajibu wao tuondokane na hii adha.Dimbwi lisilokauka barabara ya Mzozi Chang'ombe jijini Dar es salaam

 

10 years ago

GPL

BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA

Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda


 Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.Mkuu wa Msafara wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi Mhandisi John...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani