Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Masaburi afunguka kuhusu urais

MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi amesema kuwa atampigia debe mgombea urais atakayeonesha nia ya kuendeleza Serikali za Mitaa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mwigulu afunguka urais

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema ameanza kuchangiwa fedha na Watanzania wanaoishi ughaibuni ili zimsaidie iwapo ataamua kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani.

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda afunguka urais 2015

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Fredy Azzah, Dar

BAADA ya jina lake kutajwa kuwa miongoni mwa watu watakaowania urais, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, amesema zipo taratibu ndani ya chama chake za kutangaza kuwania nafasi hiyo na kusema kinachoendelea hivi sasa ni juhudi binafsi za watu.

Pinda alisema hayo jana nyumbani kwake jijini Dar es Salaam alipokutana na wahariri wa gazeti hili, kuzungumzia masuala mbalimbali yanayolikabili taifa.

Hivi karibuni vyombo vya habari viliripoti taarifa za Pinda...

 

10 years ago

Mwananchi

Makongoro Nyerere afunguka urais

Wakati CCM ikielekea katika kipindi kigumu cha kuamua mgombea wake wa urais kwenye Uchaguzi Mkuu ujao, Makongoro Nyerere, ambaye ni mtoto wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, amezungumzia taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zikimtaja kuwa na mpango wa kuwania nafasi hiyo ya juu nchini.

 

9 years ago

Mwananchi

Membe afunguka kuanguka urais CCM

Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amezungumzia kinyang’anyiro cha urais ndani ya CCM, akifananisha kushindwa kwake na kifo cha ghafla.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri afunguka kuhusu kisima

Naibu Waziri Tamisemi, Agrey Mwanri amesema kisima kimoja kati ya viwili vilivyojengwa kwa gharama ya Sh393milioni katika kijiji cha Kanondo Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa kimebomoka kutokana na tetemeko la ardhi.

 

9 years ago

Bongo Movies

JB Afunguka ya Moyoni Kuhusu Richie

Richie na JB

Richie na JB

JB ameandika haya kwenye ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa na Richie.
“Wakati tunaelekea kutimiza miaka 15 ya Jerusalem films company nitakuwa nawashukuru watu ambao kwa kiasi kikubwa wamegusa maisha na kutoa mchango kwa Jerusalem, wa kwanza ni huyu Richie.
Wewe ni ndugu yangu umenifanyia mengi sana, kwa kifupi kama kuna kitu unataka kutoka kwangu nikakukatalia kabisa akisema huyu naweza kubadlisha mawazo.
Chochote kizuri unachokipenda kwenye...

 

9 years ago

Mwananchi

Kagame afunguka kuhusu Katiba

Rais wa Rwanda Paul Kagame amewataka raia wa nchi hiyo kuendelea kuwa na ujasiri na kujiamini wakati wa kufanya maamuzi yanayohusiana na hatima ya taifa lao akisisitiza kuwa wao ndiyo wenye dhamana ya kufanya hivyo na wala siyo watu wengine

 

9 years ago

Mwananchi

Jaji Ramadhani afunguka uteuzi wa urais CCM

Jaji mstaafu Augustine Ramadhani amesema anaheshimu matokeo ya uteuzi wa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa malezi aliyopitia ndivyo yanavyomwelekeza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani