Pinda afunguka urais 2015
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Fredy Azzah, Dar
BAADA ya jina lake kutajwa kuwa miongoni mwa watu watakaowania urais, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, amesema zipo taratibu ndani ya chama chake za kutangaza kuwania nafasi hiyo na kusema kinachoendelea hivi sasa ni juhudi binafsi za watu.
Pinda alisema hayo jana nyumbani kwake jijini Dar es Salaam alipokutana na wahariri wa gazeti hili, kuzungumzia masuala mbalimbali yanayolikabili taifa.
Hivi karibuni vyombo vya habari viliripoti taarifa za Pinda...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi04 Jul
10 years ago
Dewji Blog26 Aug
Pinda atajwa mbio za Urais 2015
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipigiwa magoti na Matrida Kitwanga (kulia) mke wa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (kulia) baada ya kuwasili nyumbani kwa Naibu Waziri huyo, eneo la Usagara, nje kidogo ya jiji la Mwanza ambako alikwenda kumpa pole kufuatia kifo cha mwanae Vedastus Kitwanga kilichotokea hivi karibuni. Katikati ni binti wa familia hiyo,Agnes Misoji Kitwanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Na Mwandishi wetu
Wakati makada watano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
10 years ago
Vijimambo06 Nov
Mke wa Pinda azungumzia urais wa mumewe 2015
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Tunu-Pinda-November6-2014.jpg)
Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda, amesema bado hajashirikishwa na mume wake Mizengo Pinda, kuhusu nia ya kiongozi huyo wa serikali kutaka kuwania nafasi ya urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao mwakani.
Akizungumza katika mahojiano maalum na NIPASHE jijini Dar es Salaam, Tunu alisema mume wake bado hajatangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi hiyo kubwa nchini mwakani.
Alisema Pinda hajawahi kukaa na familia yake na kuwaeleza kama ana mpango wa kujitosa...
10 years ago
KwanzaJamii24 Sep
ALAT yakana kumbeba Pinda urais wa 2015
10 years ago
Mwananchi14 Dec
Massaburi ampigia chapuo Pinda urais 2015
10 years ago
Mwananchi10 Nov
UVCCM wagoma Pinda kuwa naibu kamanda, kisa urais 2015
10 years ago
Habarileo24 Nov
Pinda afunguka sakata la Escrow
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema taarifa nyingi za mjadala wa akaunti ya Escrow iliyofunguliwa kutokana na mgogoro wa malipo ya gharama za umeme kati ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) ambao unaendelea bungeni, umeongezwa chumvi na wakati ukifika Watanzania watatolewa taarifa kamili.
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Mwigulu afunguka urais
10 years ago
Mwananchi06 Mar
Makongoro Nyerere afunguka urais