Makongoro Nyerere afunguka urais
Wakati CCM ikielekea katika kipindi kigumu cha kuamua mgombea wake wa urais kwenye Uchaguzi Mkuu ujao, Makongoro Nyerere, ambaye ni mtoto wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, amezungumzia taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zikimtaja kuwa na mpango wa kuwania nafasi hiyo ya juu nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMakongoro Nyerere Ametumwa na Nani Urais 2015?
Hakuna kipindi ambacho CCM imeingia katika Uchaguzi Mkuu ikiwa na makundi hatarishi na pia matatizo ya kiutawala kama uchaguzi Mkuu ujao.Ujio wa Abdulrahman Kinana kama Katibu Mkuu kwa kiasi kikubwa umekichelewesha chama kumeguka vipande vipande kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao.
Wataalam wa kisiasa wanaendelea kujiuliza maswali mengi kuhusu hatima ya makundi na uhasama unaorutubika kila siku ndani ya CCM.
Udhaifu wa viongozi wakuu wa chama umesababisha baadhi ya wanachama kufanya watakacho kwa...
10 years ago
VijimamboUrais 2015 kumekucha CCM: Makongoro Nyerere naye kutangaza nia Butiama
Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania ambaye pia ni baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ajulikanaye kama Makongoro Nyerere naye anatarajia kutangaza nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imebainisha kuwa Makongoro Nyerere atatangaza nia ya kugombea urais kupitia chama cha Mapinduzi ifikapo tarehe moja mwezi wa sita mwaka huu yaani siku ya jumatatu.
Makongoro nyerere ameungana na Waziri Prof. Mark...
10 years ago
Habarileo07 Jun
Makongoro Nyerere apata ajali
MSAFARA wa mmoja wa watangaza nia ya nafasi ya urais, Charles Makongoro Nyerere, aliyekuwepo katika Mkoa wa Kigoma umepata ajali ambapo watu watano wamejeruhiwa.
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Raia Mwema01 Jul
Lipumba amnadi Makongoro Nyerere
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayewania urais, Makongoro Nyerere, ‘amekuna’ viongozi wa vyam
Christopher Gamaina
10 years ago
Mtanzania02 Jun
Makongoro Nyerere achafua hewa
MBIO za kusaka urais kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimezidi kushika kasi baada ya mtoto wa tano wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, Charles Makongoro Nyerere kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho.
Wakati Makongoro akichukua uamuzi huo kwa mara ya kwanza katika historia ya familia ya Mwalimu Nyerere, mkoani Mbeya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya naye ameingia kwenye mbio hizo.
MAKONGORO
Akitangaza nia yake katika eneo la Mwitongo kijijini...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Mwananchi22 Jan
Makongoro Nyerere amrithi Kimbisa Eala
10 years ago
Habarileo16 Oct
Makongoro Nyerere ahimiza umoja, mshikamano
MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Makongoro Nyerere, ametaka Watanzania kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere kwa kufuata misingi ya upendo, kujitolea na mshikamano.