Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makongoro Nyerere Alipua Wala Rushwa

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAKONGORO NYERERE ATANGAZA NIA, ASEMA ATAIOKOA CCM NA RUSHWA

Makongoro Nyerere wakati wa zoezi la kutangaza nia jana. Makongoro Nyerere baada ya kuvishwa vazi aina ya mgolole. Makongoro akifanyiwa maombi wakati wa…

 

10 years ago

Mwananchi

Makongoro: Naomba kibali niiokoe CCM dhidi ya rushwa

>Mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Charles Makongoro, ametangaza nia ya kuwania urais, akisema anaomba kibali kuisaidia CCM iache rushwa, kuparaganyika na atakapoingia madarakani, ili asiwaangushe Watanzania, anahitaji chama imara kisicho na shaka kama ilivyo sasa.

 

10 years ago

Habarileo

Makongoro Nyerere apata ajali

Makongoro Nyerere.MSAFARA wa mmoja wa watangaza nia ya nafasi ya urais, Charles Makongoro Nyerere, aliyekuwepo katika Mkoa wa Kigoma umepata ajali ambapo watu watano wamejeruhiwa.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mtanzania

Makongoro Nyerere achafua hewa

MBIO za kusaka urais kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimezidi kushika kasi baada ya mtoto wa tano wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, Charles Makongoro Nyerere kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho.
Wakati Makongoro akichukua uamuzi huo kwa mara ya kwanza katika historia ya familia ya Mwalimu Nyerere, mkoani Mbeya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya naye ameingia kwenye mbio hizo.
MAKONGORO
Akitangaza nia yake katika eneo la Mwitongo kijijini...

 

10 years ago

Mwananchi

Makongoro Nyerere afunguka urais

Wakati CCM ikielekea katika kipindi kigumu cha kuamua mgombea wake wa urais kwenye Uchaguzi Mkuu ujao, Makongoro Nyerere, ambaye ni mtoto wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, amezungumzia taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zikimtaja kuwa na mpango wa kuwania nafasi hiyo ya juu nchini.

 

10 years ago

Raia Mwema

Lipumba amnadi Makongoro Nyerere

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayewania urais, Makongoro Nyerere, ‘amekuna’ viongozi wa vyam

Christopher Gamaina

 

10 years ago

Habarileo

Makongoro Nyerere ahimiza umoja, mshikamano

MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Makongoro Nyerere, ametaka Watanzania kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere kwa kufuata misingi ya upendo, kujitolea na mshikamano.

 

10 years ago

Mwananchi

Makongoro Nyerere amrithi Kimbisa Eala

Wabunge wa Tanzania kwenye Bunge la Afrika ya Mashariki (Eala) wamemchagua Makongoro Nyerere kuwa mwenyekiti wao mpya baada ya Adam Kimbisa kumaliza muda wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani