Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHARLES MAKONGORO NYERERE (BUNGENI)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Makongoro Nyerere afunguka urais

Wakati CCM ikielekea katika kipindi kigumu cha kuamua mgombea wake wa urais kwenye Uchaguzi Mkuu ujao, Makongoro Nyerere, ambaye ni mtoto wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, amezungumzia taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zikimtaja kuwa na mpango wa kuwania nafasi hiyo ya juu nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Makongoro Nyerere apata ajali

Makongoro Nyerere.MSAFARA wa mmoja wa watangaza nia ya nafasi ya urais, Charles Makongoro Nyerere, aliyekuwepo katika Mkoa wa Kigoma umepata ajali ambapo watu watano wamejeruhiwa.

 

10 years ago

Mtanzania

Makongoro Nyerere achafua hewa

MBIO za kusaka urais kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimezidi kushika kasi baada ya mtoto wa tano wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, Charles Makongoro Nyerere kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho.
Wakati Makongoro akichukua uamuzi huo kwa mara ya kwanza katika historia ya familia ya Mwalimu Nyerere, mkoani Mbeya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya naye ameingia kwenye mbio hizo.
MAKONGORO
Akitangaza nia yake katika eneo la Mwitongo kijijini...

 

10 years ago

Raia Mwema

Lipumba amnadi Makongoro Nyerere

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayewania urais, Makongoro Nyerere, ‘amekuna’ viongozi wa vyam

Christopher Gamaina

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Habarileo

Makongoro Nyerere ahimiza umoja, mshikamano

MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Makongoro Nyerere, ametaka Watanzania kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere kwa kufuata misingi ya upendo, kujitolea na mshikamano.

 

10 years ago

Mwananchi

Makongoro Nyerere amrithi Kimbisa Eala

Wabunge wa Tanzania kwenye Bunge la Afrika ya Mashariki (Eala) wamemchagua Makongoro Nyerere kuwa mwenyekiti wao mpya baada ya Adam Kimbisa kumaliza muda wake.

 

10 years ago

Vijimambo

MJUE MAKONGORO NYERERE JITIRIRISHE HAPA CHINI


Moses Ng’wat, Mbeya
SIKU moja baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kusema kampeni za uchaguzi mkuu zitaanza Agosti 22, mwaka huu, Makongoro Nyerere ameonesha nia ya kuwania urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).Makongoro ambaye ni mtoto wa mwasisi wa taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alitangaza nia yake hiyo jana mjini Mbeya.Alisema wakati huu anajisikia yuko tayari kiafya, kiakili na ana nguvu ya kulitumikia taifa, hivyo atachukua fomu kugombea nafasi hiyo.Makongoro ambaye mwaka...

 

10 years ago

Vijimambo

Makongoro Nyerere Ametumwa na Nani Urais 2015?


Hakuna kipindi ambacho CCM imeingia katika Uchaguzi Mkuu ikiwa na makundi hatarishi na pia matatizo ya kiutawala kama uchaguzi Mkuu ujao.Ujio wa Abdulrahman Kinana kama Katibu Mkuu kwa kiasi kikubwa umekichelewesha chama kumeguka vipande vipande kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao.
Wataalam wa kisiasa wanaendelea kujiuliza maswali mengi kuhusu hatima ya makundi na uhasama unaorutubika kila siku ndani ya CCM.
Udhaifu wa viongozi wakuu wa chama umesababisha baadhi ya wanachama kufanya watakacho kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani