Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makongoro Nyerere Ametumwa na Nani Urais 2015?


Hakuna kipindi ambacho CCM imeingia katika Uchaguzi Mkuu ikiwa na makundi hatarishi na pia matatizo ya kiutawala kama uchaguzi Mkuu ujao.Ujio wa Abdulrahman Kinana kama Katibu Mkuu kwa kiasi kikubwa umekichelewesha chama kumeguka vipande vipande kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao.
Wataalam wa kisiasa wanaendelea kujiuliza maswali mengi kuhusu hatima ya makundi na uhasama unaorutubika kila siku ndani ya CCM.
Udhaifu wa viongozi wakuu wa chama umesababisha baadhi ya wanachama kufanya watakacho kwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Urais 2015 kumekucha CCM: Makongoro Nyerere naye kutangaza nia Butiama


Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania ambaye pia ni baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ajulikanaye kama Makongoro Nyerere naye anatarajia kutangaza nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imebainisha kuwa Makongoro Nyerere atatangaza nia ya kugombea urais kupitia chama cha Mapinduzi ifikapo tarehe moja mwezi wa sita mwaka huu yaani siku ya jumatatu.
Makongoro nyerere ameungana na Waziri Prof. Mark...

 

10 years ago

Mwananchi

Makongoro Nyerere afunguka urais

Wakati CCM ikielekea katika kipindi kigumu cha kuamua mgombea wake wa urais kwenye Uchaguzi Mkuu ujao, Makongoro Nyerere, ambaye ni mtoto wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, amezungumzia taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zikimtaja kuwa na mpango wa kuwania nafasi hiyo ya juu nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Makongoro Nyerere: Mbunge wa Afrika Mashariki

>Makongoro Nyerere ni mtoto wa tatu wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na kwa sasa ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala).

 

10 years ago

Mwananchi

Nani wa kuiwakilisha Ukawa urais 2015?

Ni takriban miezi minne sasa tangu vyama vinne vya upinzani nchini kupitia ushirikiano wao walioupa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kusaini makubaliano ya kushirikiana pamoja na kusimamisha mgombea mmoja katika chaguzi zote zijazo.

 

10 years ago

Vijimambo

KURA YA URAIS 2015 NANI CHAGUO LAKO?

Mhe. Dr. Johh Pombe Magufuli                                    Mhe. Edward LowassaKURA YA URAIS 2015: NANI CHAGUO LAKO?(Poll By NewDealAfrica)EDWARD N.LOWASSA
JOHN P.MAGUFULI
SIJAAMUA (UNDECIDED)
See results votepolls
Kura Yako Inaangukia Kwa Nani?

 

11 years ago

GPL

URAIS 2015: SIFA ZA RAIS TUNAYEMTAKA NYERERE ALIZITAJA

KWANZA kabisa nimshukuru Mungu kwa kutupa uzima mimi na wewe unayesoma makala haya. Hakika ametupendelea na anapenda tumtumikie tukiwa hapa duniani.Baada ya kusema hayo leo nizungumzie urais  wa nchi ambao tunatarajia wagombea wataanza kujitokeza siku zijazo ili kujinadi katika vyama vyao na kwa wananchi. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta  Ukweli ni kwamba taifa la Tanzania linastahili kuongozwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Fahmi Dovutwa: Mwenyekiti wa chama cha UPDP

Historia yake Fahmi Nasoro Dovutwa ni Mwenyekiti wa kitaifa wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP). Alizaliwa Februari 27, 1957 mjini Kisarawe mkoani Pwani (Amefikisha miaka 58 Februari mwaka huu).

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Peter Mziray, Rais Mtendaji APPT-Maendeleo

Historia yake Peter Mziray ni Rais Mtendaji wa Chama cha APPT Maendeleo, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa na kitaaluma ni mtaalamu wa mifugo na uchumi wa kilimo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani