Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATI YA WAGOMBEA URAIS KUPITIA CCM NI NANI UNAFIKIRIA ATANGAZWA JULY 11, 2015

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

CCM waanza kupitia mafaili ya wagombea urais

Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula.

Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula.

NA MWANDISHI WETU, DODOMA

KAMATI Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wake Philip Mangula, imeanza vikao vyake mjini Dodoma kupitia taarifa za utekelezaji wa adhabu kwa makada sita wa chama hicho wanaodaiwa kuanza kampeni kuwania urais mwaka 2015 kabla ya wakati.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya CCM kiliiambia MTANZANIA kuwa kikao hicho kilianza jana...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA WAGOMBEA URAIS KUPITIA CCM WAKIWA KWA TB JOSHUA NIGERIA


Hon. Lowassa in 2012 at TB Joshua Church!! Hon. Nchemba at TB Joshua Church in 2014Hon Magufuli with his family and Pastor TB Joshua(left

 

10 years ago

Vijimambo

Leo Mzee Kingunge kaongea na Vyombo vya Habari, ameanza kwa kupinga mfumo uliotumika kuwachuja wagombea wa urais kupitia CCM.


Kingunge amesema "Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo chakuandaa taarifa ili kuisadia Kamati Kuu ktk kuwajadili wagombea"
Amesema Kamati ya Maadili ya safari hii imefanya kazi isiyowahusukikatiba - kukata majina ya wagombe.
Kingunge amesema Kamati ya Maadili ya CCM yenyewe imekosa maadili yakuheshimu katiba na taratibu za chama.Amesisitiza Kamati ya Maadili haikuwa na madaraka ya kupeleka majina 5kwenye kamati kuu, ambayo ilipaswa kuhoji wagombea wote 38.

Kwa mujibu wa Kingunge, Kuna...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) SAMIA SULUHU HASSAN AWANADI WAGOMBEA UBUNGE WA MAJIMBO YA MKOA WA KILIMANJARO

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ,Samia Suluhu Hassan alipowasili uwanja wa Majengo mjini Moshi kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni wa hadhara.Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa kampeni ya Mgombea Mwenza wa Chama cha Mapinduzi alifanya mkutano wake katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi,Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha wagombea Ubunge katika majimbo matatu ya Moshi mjini (Dais...

 

10 years ago

Mwananchi

Nyalandu ajitosa rasmi mbio za Urais kupitia CCM 2015

WAZIRI wa maliasili na utalii na mbunge wa jimbo la Singida kaskazini(CCM) ,Lazaro Samwel Nyalandu,ametangaza rasmi nia ya kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani.

 

10 years ago

Vijimambo

MHE.JOHN MAGUFULI NDIYE MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUPITIA CCM 2015

Kura zilizopigwa zilikuwa ni kura 2422, na kura zilizoharibika ni kura 6. Kulingana na kura zilizoharibika basi kura halali ni jumla ya kura 2416. 

Dr. Asha Rose Migiro amepata jumla ya kura 59 sawa na na asilimia 2.4%

Balozi Amina Ali amepata jumla ya kura 253 sawa na asilimia 10.5%

Mhe. John Magufuli amepata jumla ya kura 2104 sawa na asilimia 87.1%

 

10 years ago

Mwananchi

10 years ago

Vijimambo

Hotuba ya Dr John Pombe Magufuli kukubali kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM 2015

Mhe Dk John Pombe Magufuli akihutubia wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM 2015 huko Dodoma wakati akikubali ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kama mgombea wa uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015


 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani