URAIS 2015: SIFA ZA RAIS TUNAYEMTAKA NYERERE ALIZITAJA
![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akTj1IaOug6K8PDOZOKE78W9kKjxDsBhArO5UyMmlNu3c1rygm-Va1OuGOK*kkxsT97Vy5*E4I4yhj0AnK87Wugi/pasua.jpg)
KWANZA kabisa nimshukuru Mungu kwa kutupa uzima mimi na wewe unayesoma makala haya. Hakika ametupendelea na anapenda tumtumikie tukiwa hapa duniani.Baada ya kusema hayo leo nizungumzie urais wa nchi ambao tunatarajia wagombea wataanza kujitokeza siku zijazo ili kujinadi katika vyama vyao na kwa wananchi. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta Ukweli ni kwamba taifa la Tanzania linastahili kuongozwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Jun
Sifa 10 za mgombea urais bora wa upinzani 2015
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Warioba ataja sifa za rais 2015
10 years ago
VijimamboMakongoro Nyerere Ametumwa na Nani Urais 2015?
Hakuna kipindi ambacho CCM imeingia katika Uchaguzi Mkuu ikiwa na makundi hatarishi na pia matatizo ya kiutawala kama uchaguzi Mkuu ujao.Ujio wa Abdulrahman Kinana kama Katibu Mkuu kwa kiasi kikubwa umekichelewesha chama kumeguka vipande vipande kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao.
Wataalam wa kisiasa wanaendelea kujiuliza maswali mengi kuhusu hatima ya makundi na uhasama unaorutubika kila siku ndani ya CCM.
Udhaifu wa viongozi wakuu wa chama umesababisha baadhi ya wanachama kufanya watakacho kwa...
10 years ago
Mwananchi28 Jun
Sifa za anayeutaka kuwa rais wa Tanzania kipindi cha 2015-2020
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-YllZww4Up88/VWczIVqfgyI/AAAAAAAAeDY/0i9b4xs7M1A/s72-c/1.jpg)
Urais 2015 kumekucha CCM: Makongoro Nyerere naye kutangaza nia Butiama
![](http://2.bp.blogspot.com/-YllZww4Up88/VWczIVqfgyI/AAAAAAAAeDY/0i9b4xs7M1A/s640/1.jpg)
Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania ambaye pia ni baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ajulikanaye kama Makongoro Nyerere naye anatarajia kutangaza nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imebainisha kuwa Makongoro Nyerere atatangaza nia ya kugombea urais kupitia chama cha Mapinduzi ifikapo tarehe moja mwezi wa sita mwaka huu yaani siku ya jumatatu.
Makongoro nyerere ameungana na Waziri Prof. Mark...
9 years ago
Michuzi15 Oct
RATIBA YA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS/MGOMBEA MWENZA KWA VYAMA VYA SIASA (KAMA ILIVYOREKEBISHWA TAREHE 15/10/2015) UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI, 2015
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-MeNb2aDJx3*QIaaOZajAno33TjtSU0FpoY4Hl9iJDeW1GbGNWo2wpBg16Ucansg7O5wiliKnCL9lVaHgOp10oVBm8SfX3CO/STEVENYERERE.jpg?width=650)
STEVE NYERERE AMWAGIA SIFA LULU
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-VJSscSfWNPU/VbuApMt0BZI/AAAAAAABj9g/9i1LRJEOQIE/s72-c/IMG_3383.jpg)
10 years ago
VijimamboRais Kikwete aifariji familia ya Nyerere kufuatia kifo cha John Nyerere
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo leo asubuhi nyumbani kwa Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye John Nyerere kilichotokea hivi karibuni.Aliyesimama pembeni ya Rais ni mdogo wa marehemu Makongoro Nyerere.