Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Warioba ataja sifa za rais 2015

>Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ametoa dira ya urais katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa kutaja sifa za rais anayefaa kuiongoza Tanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mkapa ataja sifa za rais ajaye

RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametaka umma wa Watanzania kutambua aina ya rais anayetakiwa kwa kusema, hachaguliwi rais wa klabu ya mpira, bendi ya muziki au chama cha ushirika, bali wanatakiwa kuchagua amiri jeshi mkuu aliye mwadilifu.

 

10 years ago

Mtanzania

Chifu Wanzagi ataja sifa za rais ajaye

Na Elias Msuya, Dar es Salaam
CHIFU wa kabila la Wazanaki, Japheth Wanzagi ametaja sifa za rais ajaye akisema, anapaswa kuwa ni mtu wa haki.
Hata chifu huyo amesema ni kitendawili kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa na mtu mwenye sifa hiyo.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na MTANZANIA Sinza Kijiweni mjini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Chifu Wanzagi alisema kwa kuwa Watanzania walio wengi ni masikini, hivyo rais ajaye anapaswa kutenda haki.
“Kitu kinacholeta taabu kwa sasa ni haki....

 

10 years ago

Habarileo

Ataja sifa za mtu anayefaa kuwa rais ajaye

Waziri Mkuu Mstaafu, Fredirick Sumaye.WAKATI nchi ikikaribia kuingia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewataka Watanzania kuwa waangalifu katika kuchagua viongozi wenye sifa na uwezo wa kulifikisha mbali taifa la Tanzania.

 

11 years ago

GPL

URAIS 2015: SIFA ZA RAIS TUNAYEMTAKA NYERERE ALIZITAJA

KWANZA kabisa nimshukuru Mungu kwa kutupa uzima mimi na wewe unayesoma makala haya. Hakika ametupendelea na anapenda tumtumikie tukiwa hapa duniani.Baada ya kusema hayo leo nizungumzie urais  wa nchi ambao tunatarajia wagombea wataanza kujitokeza siku zijazo ili kujinadi katika vyama vyao na kwa wananchi. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samuel Sitta  Ukweli ni kwamba taifa la Tanzania linastahili kuongozwa na...

 

11 years ago

Habarileo

Sumaye ataja sifa za viongozi wazuri

WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye amesema Watanzania wanatamani kupata viongozi wazuri na wanamwomba Mungu awasikilize na awasaidie katika hilo, huku akitaja baadhi ya sifa ambazo wangependa viongozi wao wawe nazo.

 

11 years ago

GPL

MUME WA DIDA ATAJA SIFA ZA MKEWE MTARAJIWA

Stori: Deogratius Mongela BAADA ya kuachana na mkewe ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Redio Times, Hadija Shaibu ‘Dida,’ mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1, Ezden Jumanne ametaja sifa za mwanamke atakayekuja kumuoa kama akitaka kufanya hivyo. Mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1, Ezden Jumanne. Akizungumza na mwandishi wetu nyumbani kwake, Kijitonyama jijini...

 

10 years ago

Vijimambo

Lady Jaydee ataja sifa za mpenzi mpya

Jaydee alitaja sifa za mpenzi huyo na kuweka wazi kwamba anataka mtu ambaye atamheshimu na kumtunzia utu wake.ILIKUWA ni wiki la kipekee kwa mwanamuziki Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ baada ya kukubali kujibu maswali ya mashabiki wake katika matandao wa Instagram, ambapo jana alifunguka kuhusu mpenzi anayemuhitaji kwa sasa.
Jaydee alitaja sifa za mpenzi huyo na kuweka wazi kwamba anataka mtu ambaye atamheshimu na kumtunzia utu wake.“Anayejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma...

 

10 years ago

Mwananchi

Sifa za anayeutaka kuwa rais wa Tanzania kipindi cha 2015-2020

Ndugu wasomaji wangu leo nimeona nirudi nyumbani baada ya kuzunguka kwenye chaguzi za nchi za watu wengine na mafunzo makuu kwa Tanzania. Mtakumbuka kuwa hapo nyuma nimeandika sana kuhusu chaguzi za nchi za Zambia, Afrika Kusini, Malawi, Nigeria na Uingereza na mafunzo kwa Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Warioba ataja wasaliti wa Nyerere

MWENYEKITI wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amedokeza kuwa kwa tabia na mwenendo wao, watawala wamemsaliti Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Jaji Warioba amekemea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani