Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ataja sifa za mtu anayefaa kuwa rais ajaye

Waziri Mkuu Mstaafu, Fredirick Sumaye.WAKATI nchi ikikaribia kuingia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amewataka Watanzania kuwa waangalifu katika kuchagua viongozi wenye sifa na uwezo wa kulifikisha mbali taifa la Tanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mkapa ataja sifa za rais ajaye

RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametaka umma wa Watanzania kutambua aina ya rais anayetakiwa kwa kusema, hachaguliwi rais wa klabu ya mpira, bendi ya muziki au chama cha ushirika, bali wanatakiwa kuchagua amiri jeshi mkuu aliye mwadilifu.

 

10 years ago

Mtanzania

Chifu Wanzagi ataja sifa za rais ajaye

Na Elias Msuya, Dar es Salaam
CHIFU wa kabila la Wazanaki, Japheth Wanzagi ametaja sifa za rais ajaye akisema, anapaswa kuwa ni mtu wa haki.
Hata chifu huyo amesema ni kitendawili kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa na mtu mwenye sifa hiyo.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na MTANZANIA Sinza Kijiweni mjini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Chifu Wanzagi alisema kwa kuwa Watanzania walio wengi ni masikini, hivyo rais ajaye anapaswa kutenda haki.
“Kitu kinacholeta taabu kwa sasa ni haki....

 

10 years ago

Dewji Blog

JK ataja changamoto za rais ajaye

IMGL2468

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi wa jumuiya ya watanzania waishio nchini Sweden jijini Helsinki.

Rais mpya ajaye nchini Tanzania anakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha Tanzania itaendelea kubakia kuwa moja kwa kudumisha Umoja wetu na Amani kwani Tanzania inatokana na muungano wa nchi mbili.

Rais Jakaya Kikwete ameyasema hayo jijini Stockholm – Sweden ambapo alikuwa akiongea na watanzania waishio Sweden mara baada ya kuwasili na kuanza ziara ya kikazi ya siku 3,...

 

10 years ago

Habarileo

Askofu azungumzia sifa za Rais ajaye

ASKOFU Mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela amezungumzia sifa za rais ajae na kusema haoni shida nchi ikipata rais kijana.

 

9 years ago

Bongo5

Rose Ndauka ataja sifa za mwanaume anayependa kuwa naye

Msanii wa filamu za Bongo, Rose Ndauka amesema kuwa yeye si mwanamke anayependa wanaume wenye uwezo mkubwa kama tuhuma dhidi yake zinavyoeleza. Mwigizaji huyo mrembo amevitaja vigezo vya mwanaume anayeweza kuwa naye hata kama hana uwezo wa kipesa. “Mimi napenda mwanaume anayejielewa, mwenye upendo na mchapakazi, ikitokea ana fedha itakuwa imetokea lakini si mwanamke ninayependa […]

 

10 years ago

Mwananchi

Qares: CCM hakuna anayefaa kuwa rais

Waziri wa zamani katika Serikali ya Awamu ya Pili na ya Tatu, Mateo Qaresi amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa sasa hakina mgombea mwenye sifa ya kuwa rais wa awamu ya tano wa Tanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba ataja sifa za rais 2015

>Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ametoa dira ya urais katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa kutaja sifa za rais anayefaa kuiongoza Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tuanze kujadili sifa za kweli za kiongozi ajaye

WACHA Kionambali naye aanze kuchungulia 2015.  Kuna ubaya gani? Wengine walianza kuitazama 2015 tangu miaka kumi iliyopita. Kila mmoja akitunga ngonjera atakazokuja nazo kutuimbia Watanzania, na kwa vile tumezoea kudanganyika...

 

10 years ago

Habarileo

UVCCM yataja sifa za mgombea urais ajaye

Katibu Mkuu wa Taifa UVCCM Taifa, Sixtus Mapunda UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umetaja sifa za mgombea urais, anayetakiwa kugombea kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani